Ngoja nijaribu kufungua dimba la majina ya Koo mbalimbali nchini Tanzania

Mapengo 17

R I P
Mar 28, 2014
1,232
609
Ngoja nijaribu kufungua Dimba:
1. Wachagga
Massawe
Mushi
Mosha
Temu
Mtei
Kimaro
Kimario
Mosha
Marealle wachagga.
Tairo
Mremi
Moshiro
Mlingi
Masashua
Kinabo
Laswai
Swai
Lamtana
Bongole
Mrema
Mrina
Ndesamruro
Ndekise
Chuwa
Minde
Kinyaiya
Njau
Shoo
Nkya
Mtei
Sawaya
Minja
Mengi
Mbatia
Kimambo
Msami
Ndakidemi
Ndemasi
Ndeshillo
Urio
Mrosso
Uria
Urassa
Shio
Silayo
Temba
Lyamuya
Makundi
uisso

2.Wapare

Maghembe
Mshana
Mgonja
Mchome
Kiogwe
Mndeme
Mnzava
Mbwambo
Ndanshau
Ainde
Tafadhali endeleza . . .

3. Wahaya:
Rugaimukamu
Rutakyamirwa
Rutabanzibwa
Rweikiza
Rugarabamu
Tafadhali endeleza

4. Wanyakyusa
Tuntufye
Mwakyusa
Mwakalebela
Ntitu
Mwakosya
Anyosisye
Mwakatwila
Tafadhali endeleza.

5. Wangoni (Mdau kawakilisha)
Soko
Moyo
Nguruwe
Mbuzi
Fusi
Nyoni
Tembo
njovu
Endeleza tafadhali . . .

6. Wajaluo
Otieno
Onditi
Ojuang

7. Wakurya
Chacha
Mwita
Marwa
Matiku

8. Wasambaa
Semhando
Shelukindo
Kihiyo

Update 1:

9. Wasukuma...
Mabula
Masanja
Magembe
Masunga

10. Wafipa
Nkoswe
Mpambwe
Khamsini
Mwanakatwe
Nswima
Mzindakaya
Simbakavu
Endeleza tafadhali...

11. Wanyasa

Komba
Ndomba
Nchimbi
Ndunguru
Kumburu
Nkondola
Kanjolonga
Komba
Endeleza..

12: Wazaramo

Havijawa
Ukiwaona
Mwadawa
Mwandani
Hapendeki
Mkegani
Mtukwao
Mlaleo
Shida
Taabu
Dhiki.

Endeleza tafadhali....
Tafadhali naomba tusaidiane kutaja majina mbalimbali ya Ukoo kwa kila Kabila na vile vile tuendeleze listi hii hadi yafike makabila 126
 
Kuna wanyiha na wanyamwanga.
Mbeya,
Mbozi &Ileje na Momba

Simbeye
Sikanyika
Sikaluzwe
Simbowe
Simfukwe
Siwakwi
Silwimba
Sichone
Simtowe
Sikaluzwe
Sinkutwa
Sichelwa.
Sinienga
Sikaonga
Sinkala
Silwenga




Wanyiha.

Mwampashi
Mwang'amba
Mwamlima
Mwashiuya
Mwamundi
Mwasenga
Mwashitete
Mapumba
Mkondya
Myombe
Mgala
Magwaza
Nyondo
Mtambo
Nzunda
Halinga
Haonga


Wandali

Masebo
Lusoko
Kibona
Ndile
Mtafya
Mtawa
Chilongo.
Kainga
Kalinga
 
There's a fine line between fishing and just standing on the shore like an idiot.
 
Wamakua;
Mkapa
Mrope
Millanzi
Hokororo
Mchopa
Mkuwele
Mkulia
Mmole
Namajojo
..............

Wamakonde
Nawanda
Mkuchika
Lukanga
Litekete
Mnileka
Nandope
Lingwele
Nambowa
Nyedi
Mpelo
Likwata
Nawema
Kitentya
Mwilombe
Reli
Dawa
Mnichidika
 
WAKINGA-MAKETE
Kyando
Sanga
Mahenge
Mbilinyi
Tweve
Chaula
Ngulwa
Sigalla
Mbogella
Pilla
Fungo
Mvella
Luvanda
Ilomo
....... Endeleza.. ...........
 
naendeleza wachaga..
Mosi
Lema
Maimu
mmari
mwanry
Masseri.
Shirima.
Lyimo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom