Recent content by Xoman manx

  1. X

    Lazima Lowassa ashitakiwe kwa Ufisadi!!

    Tuangalie msingi na faida ya tunachopost.
  2. X

    Udikteta wa Rais Magufuli una madhara gani ya moja kwa moja kwa mwananchi!?

    Nawaombeni jambo moja!!! Tusipende kumkosoa Mheshimiwa rais wakati tayari anapambana na mambo Mengi,mtu tayari amefanya mabadiliko katika Mazingira mengi tu bado mnamsema hivi tunataka nini Watanzania? Unapotaka kubadilika ni lazima ukubaliane na mambo yatayokuumiza ili baadaye mabadiliko...
  3. X

    Mwenye experince na Suzuki Escudo

    Well nakubaliana na comment yako Mr Kabunguru..lakini ujue pia Grand Vitara ina u mayai flan...bila shaka utanielewa tofauti na haya madogo ya Escudo na Swift.Hata hivyo bei ya magari ya toyota ni tofauti na Suzuki...nadhani ni kwa sababu ya ubora na availability ya spare ...Toyota ina spare...
  4. X

    Mwenye experince na Suzuki Escudo

    Kuna mtu hapa anachanganya..anadai amewahi kuwa na Suzuki Escudo Vitara..haya magari mawili tofauti.Makes za Suzuki ni kama zifuatavyo:Escudo,Vitara,Swift,Grand Vitara,Samurai,Esteem,Verona,Reno,Xl7,Equator,Forenza,X-90,Aerio,Kizashi,Side kick,S-X4,. Hivyo kama unataka Suzuki ni vyema ukanunua...
  5. X

    Finally Nimeweza ku unlock Tecno Y3+ Ya Tigo

    Huyo kalipia online nijuavyo ndo akatumiwa unlock code
  6. X

    Ushauri kati ya Toyota Ipsum, Wish na Isis

    Nitafute kwa email yangu..clavingod@gmail.com
  7. X

    Wapi naweza kwenda kukodisha helicopter?

    Unataka kukodi ndege kwanini..mi nataka nijue kwanza then ntakusaidia[emoji12] [emoji12] [emoji16] [emoji2] [emoji3]
  8. X

    Nina div 4 point 28 ya mwaka 2010, naomba ushauri nisome kozi gani?

    Jamani kuna watu wana mapovu humu..we unamshauri mwenzio akasomee udereva wa matrekta una maanisha nini ...hahahahaha ..
  9. X

    Nina div 4 point 28 ya mwaka 2010, naomba ushauri nisome kozi gani?

    Hyo point 28 itategemeana na credit ulizonazo .ndo uamue kusomea kitu.
Back
Top Bottom