Ushauri kati ya Toyota Ipsum, Wish na Isis

Mulimila dole

JF-Expert Member
Jul 15, 2016
216
250
Wakuu
Nina ndoto ya kumiliki gari yangu kabla ya tarehe 1 AUGUST haijalishi kama nitaagiza au kumvua mtu yote sawa Bajeti yangu ni Milioni 8. Naomba ushauri kwani nimevutiwa na Toyota IPSUM, Toyota Wish na Toyota ISIS. Gari hizi nimezipenda kwa muonekano na nafasi yake ndani ya gari lakini sijui chochote kinachohusiana na matatizo hasa ya kiufundi na upatikanaji wa spare parts zake.
Vipi ulaji wa mafuta kwa kulinganisha kila moja maana mimi ni wale wale wabeba vidumu kwenye magari.

Natanguliza shukurani

nawasilisha
 
Mamaya

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
3,985
2,000
Wish 1790cc, ipsum 2300cc. Kazi kwako,itajua wese ipi ina nafuu
 
Nima Imma

JF-Expert Member
May 14, 2015
2,341
2,000
Wakuu
Nina ndoto ya kumiliki gari yangu kabla ya tarehe 1 AUGUST haijalishi kama nitaagiza au kumvua mtu yote sawa Bajeti yangu ni Milioni 8. Naomba ushauri kwani nimevutiwa na Toyota IPSUM, Toyota Wish na Toyota ISIS. Gari hizi nimezipenda kwa muonekano na nafasi yake ndani ya gari lakini sijui chochote kinachohusiana na matatizo hasa ya kiufundi na upatikanaji wa spare parts zake.
Vipi ulaji wa mafuta kwa kulinganisha kila moja maana mimi ni wale wale wabeba vidumu kwenye magari.

Natanguliza shukurani

nawasilisha
Na hyo wish uwe huna matembez nayo kwenye rafu road kumbuka iko chin sana kwa mbele angalia nying zilivyopondeka pondeka,,,,
 
Nima Imma

JF-Expert Member
May 14, 2015
2,341
2,000
Mkuu zote ni nzuri kwa space na comfortability.Hutajutia.Jaribu na Gaia
Gaia umepoint mana n gharama nafuu kwa kila kitu na ni imara sana,,,, ila kama n kijana wa show off achukue wish ila aijitahid kuitunza mana ile n kama mkate ulotiwa ktk chai
 
Mulimila dole

JF-Expert Member
Jul 15, 2016
216
250
Gaia umepoint mana n gharama nafuu kwa kila kitu na ni imara sana,,,, ila kama n kijana wa show off achukue wish ila aijitahid kuitunza mana ile n kama mkate ulotiwa ktk chai
Asante kwa kunipa wazo la Gaia nilikuwa sijaifikiria. Kwa vile umeniambia sifa zake acha niipitie mimi natafuta gari comfortable wale mie si kijana hivyo hayo mambo ya Show off nawaachia wavaa miregezo
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
41,563
2,000
Isis ndio mashine katika hizo zote hapo... Iko poa sana hasa ukipata ile vvt-i ya cc 1794. Nimeiendesha mno hio gari! Iko very spacious and comfortable.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom