Recent content by Ximena

  1. X

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa miezi minne anatakiwa anywe kiasi gani cha maziwa ya mama?

    Huyo itakuwa mlichelewa kumuanzishia chuchu ilibidi aanze mapema hata kabla maternity haijakaribia kuisha... Mnaweza kujaribu kumpa kwa kijiko kuna sehemu niliona wanatumia njia hii ikafanikiwa Kuhusu kiasi sina uhakika
  2. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, bikra ya mwanamke inaweza kutoka bila damu?

    Hukunielewa vizuri nadhani... nilikuwa na huyo huyo tu
  3. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, bikra ya mwanamke inaweza kutoka bila damu?

    Hakuna faida yoyote... huyo niliyesema angejisifu ni kutokana na kuwa miongoni mwa wanaoamini ipo faida ya kumbikiri mtu
  4. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, bikra ya mwanamke inaweza kutoka bila damu?

    Inawezekana..... maana mimi sikutoka damu. Ila afadhali tu huyo aliyeitoa hakujua kama yeye ndo wa kwanza angejisifu sana fala yule
  5. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sifa za Mwanaume anayekuchezea

    Hao ni wachezeaji wa zamani...hawa wa siku hizi wanachezea kuanzia binti mpaka na wazazi wake
  6. X

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kwa kweli huku Kigamboni wamezidi halafu ni kila siku.... imagine leo tu tangu asubuhi wameshakata mara tatu na hadi muda huu hakuna umeme wanaboa sana
  7. X

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kwa kweli mnakera jamani huku Kigamboni ndo kabisa haipiti siku hamjakata na taarifa hamtoi... Na kila saa kukata hadi mnatuunguzia vitu
  8. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bado sijaelewa walikusudia nini hawa wanawake

    Hahahaaa hahaahaaaa hahaahaaaa mimi ni mwanamke halafu hata sijui nacheka nini...
  9. X

    JamiiForums Tanzania Nini madhara ya mwanamke kufunga kizazi katika umri mdogo?

    Duuh ahsante japo hizi njia nyingine za uzazi wa mpango sizielewi kabisa
  10. X

    JamiiForums Tanzania Nini madhara ya mwanamke kufunga kizazi katika umri mdogo?

    Wataalam najua hii ni mada ya siku nyingi lakini natamani kupata mawazo zaidi... mimi hujifungua kwa operation na tayari ninazo mbili natamani nitakapoenda kufanya ya tatu nifunge kabisa kizazi. Kuna madhara yoyote kiafya nitakayoyapata?
  11. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kufuta namba ya simu ya marehemu inauma sana

    Sio kwamba umegeuza huo msemo "kata pua uunge wajihi"
  12. X

    JamiiForums Tanzania Ni tabia gani ambayo hutaki mwanao aje airithi?

    Uvivu
  13. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho baada ya kunyimwa unyumba kwa mda

    Ungemwambia ni Valentine's day hahaahaaaa
  14. X

    JamiiForums Tanzania Naomba Serikali ifute Hotel Levy kwenye mamlaka ya halmashauri

    Hii ni service levy...mtoa mada anazungumzia hotel levy
  15. X

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FAMILY MATTER: Nahitaji ushauri, nashindwa kufanya maamuzi...

    we muache na sisi tutakuwa wakali hivyo hivyo kwenye kutoa ushauri
Back
Top Bottom