The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 38,078
- 117,680
Kuumwa tena?Unaumwa wewe
Kwani kwako wewe leo ni siku gani?
Kuumwa tena?Unaumwa wewe
Ungemwambia ni Valentine's day hahaahaaaaKuumwa tena?
Kwani kwako wewe leo ni siku gani?
Kumbe Eeeeh!Ungemwambia ni Valentine's day hahaahaaaa
Kwahiyo mkuu saiv mwepesi tu sio..Umepiga vingapi?
Eti nioe af ninyimwe papuchi..Iiiiiii bhaghosha
Kumbe j2? Sijaenda kanisani nkadhani jmos.Kuumwa tena?
Kwani kwako wewe leo ni siku gani?
Wewe Mwamba na mshauri wako Kurunzi wote wahuni Tu.Nashukuru mliotoa ushauri niliona bora nifate ushauri wa jamaa mmoja anaitwa @kuruzi kwenye reply no 60.
Basi leo usiku nimejifanyisha naota nikiwa naongea mara ya 1 akapuuza mara ya pili nikaota hadi natembea nikatoka chumbani hadi sebleni, akanifata akasema leo unanini siuamke uombe jamani?
Nikaona hii haijatosha nikajilaza tena kwenye saa 11 hivi nikajifanya kuota naota huku namtaja mke wangu na mwanamke mwingine kuwa aniache basi mke wangu kwa hamu ya kujua nachepuka nanani akawa anauliza huyo mwanamke ni wawapi huku naamushwa nijibu bada ya kuamka nikamsogeza haikupita dk 20 kitu kimo.
Hahaaaaa
Pia soma: Kipi unatakiwa ufanye endapo mkeo akikunyima unyumba?