Recent content by Xheb

  1. Xheb

    DOKEZO Kampuni ya mabasi ya Ester ichunguzwe

    kampuni si ya mtu mmoja Kwa hiyo kununua mabasi 100 ni kawaida kabisa,,,,tafuta pesa aisee
  2. Xheb

    Sitasahau 2016, nilipungua kilo sita ndani ya wiki moja

    😁😁😁😁ndio maana nakomaa na Rav 4 kili time sitaki hata kuiuza
  3. Xheb

    Nilichokiona jana kwenye daladala ya kwa Morombo-Arusha

    Sijawahi kuikubali Arusha kwa lolote lile, panaboa sana
  4. Xheb

    Jinsi Simba na Yanga wanavyobebwa

    Refa wa mchongo
  5. Xheb

    Siku hizi wanawake huchoka mapema sana wakati wa kufanya mapenzi

    Likiwa bonge ndio hamna kitu kabisa pumzi hakuna mkao mmoja tu shubaamiti zao ila yenyewe ndio namba moja kutaka kupelekewa moto wa maana
  6. Xheb

    Saikolojia: Ishara zinazoonesha wewe ni handsome/una mvuto wa kiume tofauti unavyodhani

    Mimi ni handsome lkn sijakutana hata na kimojawapo hapo😀😀
  7. Xheb

    Simba Sc 0-0 Coastal Union | Ligi kuu | Benjamin Mkapa

    😃😃😃 Zamu yao kuteseka😃😃
  8. Xheb

    Simba Sc 0-0 Coastal Union | Ligi kuu | Benjamin Mkapa

    Simba kageuka bata 🦆
  9. Xheb

    Wallah! Kama Simba SC itacheza Mpira Mkubwa iliyocheza Simba Day na TP Mazembe, kuna Mtu tarehe 25 anafungwa Goli 7

    Hii thread ilikufa baada ya mnyama kupigwa na kitu kizito kichwani kwa kupigiwa pira sambusa na watoto wa professa nabi 😃😃🙌🏽
  10. Xheb

    Asikwambie mtu baba Yanga Tamu!

    Kwa Yanga hii kuna kikundi cha wahuni kitafukuza makocha sana😉😉
  11. Xheb

    Asikwambie mtu baba Yanga Tamu!

    Malizana na wagosi wa kaya kwanza😃😃
  12. Xheb

    Tuseme tu ukweli, ujenzi unahitaji kujinyima sana

    Alikua kashakuibia mzee😀😀
Back
Top Bottom