Recent content by xerophyte

  1. X

    Morogoro - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    nipo mikumi hapa mjini prof.jay anachukua nafasi bila kumsahau lowassa.
  2. X

    Decca college of health

    mmmmmmh ada ndefu sanaaa hicho chuo.
  3. X

    Magufuli anayajua maisha ya Mtanzania wa chini

    hana jipya hapa lowassa tu
  4. X

    Wadau wa Kampala University tukutane hapa

    nasoma kiu health science( co) ee bwana kiu bado hapana uhakika 100% ila mawaziri walituambia tutatambulka kwa hyo tunaishi kwa imani tu kuwa watatutambua unajua kiu hakuna mwanafunzi aliyeajiriwa serikali kwa kozi za afya mwez nov. ndio kuna jamaa wanamalza tuone km wataajiriwa
  5. X

    ONYO: Makongoro Nyerere kabla hujafa hujaumbika

    makongoro hana jipya yule!
  6. X

    Natafuta mme mwema

    "kumbe mke mwema anatoka kwa BWANA" ngoja nisubiri mwanamke aliyeachika toka kwa bwana ndiye nitakayemuoa
  7. X

    MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    duu nilimaliza pale 2011 kidato cha 6 nimeyakumbuka maeneo haya bwen la nkurumah,mandela,karume yaani ni pazuri kwa kwel.
  8. X

    MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    duu nilimaliza pale 2011 kidato cha 6 nimeyakumbuka maenea haya bwen la nkurumah,mandela,karume yaani ni pazuri kwa kwel.
  9. X

    MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    nichek 0757670072 nmemalza hapo 2011 CBG
  10. X

    MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    nimesoma hapo kwiro hyo hyo cbg nmeua 2011 pazur shda miundo mbinu ya xhule mibovu ila taaluma wazma
  11. X

    Dawa ya vipele kwenye ngozi

    kanunue BBE lotion kisha jitahidi kumuweka safi huyo mtoto, mavazi na mwili wake.
  12. X

    Orodha ya diss tracks za kibongo, Sehemu ya Kwanza

    vipi bifu za tamaduni na weusi?
  13. X

    Uozo wa kampala international university

    kampala ni zaidi ya majanga, ni mwanafunzi wa kiu pia
Back
Top Bottom