Recent content by X-pen

  1. X

    Ushauri: Mpenzi wangu amebadilika

    Kwani ulimtoboa ww? Kama ulikuta katobolewa basi ujue aliemtoboa lazma aendelee kumkulaaaa.
  2. X

    Idadi ya wanaoomba kuuza figo zao Muhimbili yaongezeka

    Ivi ukiuza figo yako kwa kujitolea ili ujipatie kipato, si itakubidi ulipie kodi coz ni biashara kama zilivyo biashara zingine . nauliza tu.
  3. X

    Walinzi wa Ikulu ya magogoni huu sio utanzania

    Haya issue ingine ya mateso kutoka jwtz niliiona huko kambi ya nyandoto, jamaa alikutwa anaoga kwenye kimto ndani ya kambi, weeee aliletewa sabuni miche mi 5 alafu anaambiwa aoge hadi hizo sabuni ziiisheeee, sie watazamaji tulisepa yule jamaa sijui ilikuwaje. Ila tujifunze ukikuta kibao...
  4. X

    Walinzi wa Ikulu ya magogoni huu sio utanzania

    Hawa jwtz nawapa salute, kuna jamaa alikutwa anakula mapera pale nyegezi kona eneo LA jeshi, jamaa walimpeleka jikon kwao akapewa ugali ndoo nzima na nyama kama kilo 5 ivi, jamaa akala akashiba msosi ukabaki, kubakiza msos ikawa kesi wakamwambia ale wote uishe coz alikuwa na njaa that why...
  5. X

    NAUZA SAMSUNG S9

    Hiyo pesa si mtaji kabisa wa robota 5 za mitumba.
  6. X

    Napenda kufaham wasanii mikoa wanayotoka

    Bonta ni mjaluo wa buturi ,rorya Mara na ni katibu wa afya halmashaur ya ushetu kahama.
  7. X

    Humphrey Polepole ni nani?

    Endelea kugoogle
  8. X

    Kwanini hawa wana pesa sana lakini hawajasoma?

    Mafanikio yana pande mbili, upande wa nuru na upande wa Giza, upande wa nuru ndio mafanikio unayoyaona upande wa Giza ni jinsi Huyo MTU alivyopata hayo mafanikio. Usitaman cha MTU coz akikwambia jins anavyofanikiwa kamwe huwez hata kuthubutu kufuata nyao zake. Hustle kivyako vyako.
  9. X

    Nchi zinazolipa vizuri jeshi lake

    Hizo million ulizozitaja ni kwa ratio ip, tz shillings, us dollars or? Na kama ni tz shillings umetudanganya coz kwa ulaya MTU hawez kusurvive kwa hizo rank za salary kwa mwez.
  10. X

    Ushauri: Niwe na mwanaume yupi kati ya hawa?

    Wakuowe wote, coz nyie viumbe mkipendwa huwa mnazingua sanaaaa
  11. X

    Wanasiasa ni chanzo cha kukwama kwa utekelezaji wa miradi Serikali isibebeshwe msalaba!!

    Truth , huku halmashaur ya msalala madiwan wamevutana sana mahar pa kujenga makao makuu ya wilaya, matokeo yake wanaacha kujenga busangi sehem nzuri wakaamua kujenga ntobo kwenye majaluba ya mpunga, sasa hizi mvua zinazonyesha eneo lote limekuwa bwawa na ujenz umesimama. Miongon mwa wanasiasa...
  12. X

    GBV ni tatizo sugu kwa baadhi ya nchi kwa sasa duniani

    Wengi wanaowafanyia watoto GBV (rape) huwa ni ndugu zao wa karibu.
  13. X

    Kilio cha Madaktari wanaomaliza internship Awamu ya Tano

    Eti graduate unalia hakuna ajira!!!!!, katafte temple za family care kwa wahindi au ukafanye kaz Sudan,Syria, somalia Lebanon mbona wanatafta madaktar kwa wingi, ukishindwa hilo inakubid upige moyo konde kusubiria ajira za TZ huku ukilima mchicha huko unakoish., ni idea tu.
  14. X

    Nitamshangaa mwanamke atakayeenda kujidhalilisha mbele ya RC Makonda

    Lazma tujifunze, hata wanaume wapo waliosingiziwa watoto.
  15. X

    Mbona hakuna mshindi wa BIKO ambaye simu yake haikupatikana au haikupokelewa ?

    Kwan humu jamvin si mumtafte mpoki na kajala muwahoji live, BT nimekumbuka kale ka msemo ka kamari ni kuliwa, wabongo tunataka maisha ya kutokuumiza kichwa, yaan hata MTU hujiuliz kwa buku tu wakupe mil 20!!!!
Back
Top Bottom