Recent content by X GIRL FRIEND

  1. X

    JamiiForums Sijui kwanini nampenda sana japo amenisaliti na kuniumiza mara nyingi

    Ni boyfriend wangu ambaye nimedumu naye kwa muda mrefu,amenisaliti mara kibao na tunaachana akija kuniomba msamaha,Hata kama nina hasira kiasi gani najikuta nimemkumbatia na kumsamehe kbs.Sijui kwanini hali hii hunitokea
  2. X

    JamiiForums RPC wa Mwanza ACP Liberatus Barlow auawa na wanaodaiwa ni majambazi!

    Huyo dada yake anaitwa nani na ana umri gani,Kaolewa au hajaolewa?km ana mume kwanini kamanda ampeleke kwenye kikao cha harusi hadi sa 8 usiku?wakati kikao kinaendelea huyo kamanda alikua anafanya nini?walio mpiga risasi walikua na gari zenye namba gani na aina gani?
  3. X

    JamiiForums RPC wa Mwanza ACP Liberatus Barlow auawa na wanaodaiwa ni majambazi!

    yawezekana ni wenyewe kwa wenyewe
  4. X

    JamiiForums RPC wa Mwanza ACP Liberatus Barlow auawa na wanaodaiwa ni majambazi!

    alimkosakosa kamanda uhamiaji sasa kamalizwa yeye
  5. X

    JamiiForums Hatimae madawa ya kulevya yaruhusiwa Tanzania

    ni kwa mujibu wa tangazo jipya linaloonyesha watumia madawa ya kulevya wakipinga uchangiaji wa sindano wanapojidunga madawa hayo,..tangazo hili linaonyesha kuunga mkono matumizi ya madawa hayo huku likipinga uchangiaji wa sindano.
  6. X

    JamiiForums Kitendawiliii

    Akizaa mara moja hufa?
  7. X

    JamiiForums Wakina dada na wamama mkwe wanatabia ya kuingilia ndoa za kaka zao

    Kuna tabia ya mawifi yani dada wa bwanaharusi na mama yao/ mama mkwe kupenda kuingilia maisha ya ndoa ya kaka yao/ mwanae mara wamsakame wifi kuwa mbaya, mchoyo nk. Ndo mana ndoa nyingi zinayumba. Najua wengi humu jf ni mawifi na mama wakwe hebu elezeni kwanini mnafanya hivi?
  8. X

    JamiiForums Wanaume wa kichaga hawajui mapenzi

    Wao wanajua kutafuta hela na kiukweli hela wanazo lakini kwenye mapenzi ni 0, hata kutongoza wengi wao hawajui wanajua kuhonga tu, na wanawake wanawakubali sababu wanapewa matumizi yakutosha ila wengi wa wake zao au magirl friend zao wana wanaume wapembeni wa kuwaridhisha kimapenzi. USIBISHE...
  9. X

    JamiiForums Mimi na mapenzi tena basi

    pole sana tulia utajapata wako MUNGU aliyekuandalia
  10. X

    JamiiForums wife anapokulalamikia rafiki yako anamtaka....

    mkeo si huyu dada mweupe mnene kiasi na amesokota rasta? Km ndiye ni pm nikupe khabari kamili,
  11. X

    JamiiForums Wanawake wakimachame si wakuoa!

    hata wa bure simtaki!
  12. X

    JamiiForums Wanawake wakimachame si wakuoa!

    usiondoke
  13. X

    JamiiForums Wanawake wakimachame si wakuoa!

    Najua mtanishambulia sn sbb mnaogopa ukweli! Poleni lkn habari ndio hiyo
  14. X

    JamiiForums Wanawake wakimachame si wakuoa!

    NI KWELI NIMECHELEWA KUOA JE UKO TAYARI NIKUOE? please please! Say yes
  15. X

    JamiiForums Wanawake wakimachame si wakuoa!

    masonic hawauwagi ajili ya pesa wanazo za kutosha
Back
Top Bottom