Recent content by wwwrp

  1. W

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kukutana na Wabunge wa CCM mjini Dodoma

    Tuwe na subira.Tutasikia yatakayojiri. Hv nc moment.
  2. W

    JamiiForums Tanzania UDOM-COED! Kilio ni maji maji maji

    Ni kweli kk, subira ni kitu cha msingi Sana.
  3. W

    JamiiForums Tanzania UDOM imetoa tena mshindi wa Digital Change Makers Competition iliyodhaminiwa na Tigo

    Ingia google tafuta vyuo 200,bora Africa 2017 utaona kwa Tanzania ni vyuo vitano tu vipo, Udsm ,sua, mzumbe, mhimbili na Udom, sio haba Tanzania tunazidi kusonga mbele kitaaluma.
  4. W

    JamiiForums Tanzania Mh rais ripoti ya vyeti feki msumeno utafanya kazi au kama ya wale vilaza udom

    Hongereni Sana wana Udom
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mh rais ripoti ya vyeti feki msumeno utafanya kazi au kama ya wale vilaza udom

    Udom inazidi kushika nafasi katika vyuo 200, Africa 148.
  6. W

    JamiiForums Tanzania UDOM imetoa tena mshindi wa Digital Change Makers Competition iliyodhaminiwa na Tigo

    Hongereni Sana Udom, pia katika Africa vyuo 200, bora Udom 148, inazidi kupanda chati Sana.
  7. W

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha: Kumbe kuna wanaume wako hivi..

    Huko unatafuta maradhi pasipo sababu mbona wanawake wako wengi sana. Nakushauri tafuta mwanamke wako kuepuka maradhi.
  8. W

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani wanaume warefu kupendwa na wanawake wengi?

    Sifa za nje, ndiyo wengi wao wameishiwa kuzalishwa tu
  9. W

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani wanaume warefu kupendwa na wanawake wengi?

    Ni mtazamo tu kaka, maisha hayana kigezo hicho muhimu wabadilike, tabia ndiyo kila kitu.
Back
Top Bottom