UDOM-COED! Kilio ni maji maji maji

UDOM-COED! Kilio ni maji maji maji

Mijitu mingine kwa uongo, maji yapo full kasoro siku mbili tatu wakati bomba lililopasuka likofanyiwa marekebisho. Vipi unalalamika maji sasa hivi na miaka ya kuanzia 2010/2011 ungesemaje?

Mkuu, Maneno yako yanapingana sana na avatar yako! Soma vizuri content za uzi, mtoa hoja kazungumzia tatizo la wiki hii na specific college of education-COED! (si chuo kizima) sidhani kama uko COED kwa sababu mpaka dakika hii maji ni issue kwa block nyingi! Hata hivyo shida za 2010 haziwezi kuhalalisha za 2014! JITAMBUE!
 
sasa wewe badala uende ukaripoti sehemu husika unakuja kulialia huku ili sisi tukusaidie nini think big guy

Mkuu, jf ina members tofauti tofauti wenye nafasi mbalimbali katika vyombo mbalimbali vya umma na binafsi! Hatuwezi woote kwenda kwenye ofisi hizi kulalamikia kero zetu! Ndio maana zikawepo radio, tv, magazeti, internet forums nk nk! Hivi vyote vinaisaidia sana serikali na vyombo vingine kupata mrejesho wa kero/pongezi kutoka kwa wananchi! THINK!
 
Hebu wakati mwngne uwe unajarb kutumia akili,japo hyo kidogo uliyonayo. Hao wakuu wa udom wanaopitia humu unaotaka watatue tatzo lako kwani wapo chuo gan wao? si ni udom hapohapo? kwan hawajaona hlo tatzo? je,kama wameshndwa kulisolve unafkr ukilalamika humu ndo watalisolve?
wewe c ajabu hata mambo ya familia yenu unaweza kuyaleta humu jf.Next time uwe unafkiria kwanza kabla hujaandika kitu!!

Mkuu, Matatizo mengine hayasabishwi na wakuu wa chuo! Yawezekana ni uzembe tu wa ma warden au mafundi kutoa taarifa kwa mamlaka zinazohusika! Naimani wakuu wa chuo watapitia hapa au wataambiwa na kulifuatilia suala hili! AMKA!
 
Kijana "don't do things by assumptions" kwanza we unaishi block gan hlo liclo na maji?
 
Kijana "don't do things by assumptions" kwanza we unaishi block gan hlo liclo na maji?

Kama ungekuwa udom-coed usingekuwa na haja kuuliza block lisilo na maji! Its better ukawa serius kwenye sensitive issues! Watch out!
 
Mkuu, jf ina members tofauti tofauti wenye nafasi mbalimbali katika vyombo mbalimbali vya umma na binafsi! Hatuwezi woote kwenda kwenye ofisi hizi kulalamikia kero zetu! Ndio maana zikawepo radio, tv, magazeti, internet forums nk nk! Hivi vyote vinaisaidia sana serikali na vyombo vingine kupata mrejesho wa kero/pongezi kutoka kwa wananchi! THINK!

Okey mkuu ngoja waletee maji ili nijuavyo mimi viongozi pale wamewekwa ili kuhudumia watu
 
Hebu wakati mwngne uwe unajarb kutumia akili,japo hyo kidogo uliyonayo. Hao wakuu wa udom wanaopitia humu unaotaka watatue tatzo lako kwani wapo chuo gan wao? si ni udom hapohapo? kwan hawajaona hlo tatzo? je,kama wameshndwa kulisolve unafkr ukilalamika humu ndo watalisolve?
wewe c ajabu hata mambo ya familia yenu unaweza kuyaleta humu jf.Next time uwe unafkiria kwanza kabla hujaandika kitu!!
we ni mmojawapo wa wakuu udom?pambaf
 
Mmemwona Prof. Kabigumila? Ama mmeenda estates office pale central? Hakuna uongozi wa serikali ya wanafunzi hapo CoED? Basi njoon utawala mkuu kwa namba tatu yafanyiwe kazi fasta maana maji mengne yanaanzia hapohapo college km unaenda health juu

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Nilitembelea UDOM miezi michache iliyopita. Nilikuta kuna ujenzi wa mradi mkubwa wa kusambaza maji college zote. Kuna mabomba makubwa ya kusambaza maji yalikuwa yanafukiwa na matanki makubwa ya maji yalikuwa yakijengwa juu ya vilima. Naamini mradi huo ukikamilika tatizo la maji UDOM litakuwa limekwisha.
 
Huo mradi umeanza zamani sana. Tatzo la Maji UDOM sio leo ndugu yangu kwanza kijografia si sehemu nzuri katika upatikanaji wa maji. Matank hayo hayawezi kuhudumia watu zaidi ya elfu 5. Serikali inabidi aangalie sana hili suala. Vyoo vizuri sana kila block ila vinaharibika sababu ya ukisefu wa maji. .. Wanafunzi wako smart sana ukiwakuta cafeteria kwa mwarabu na mwafrika ila sehemu zao za kuogea na kujisaidia utakimbia! Serikali ya wanafunzi inajali burudani tu na mambo mengine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom