UDOM imetoa tena mshindi wa Digital Change Makers Competition iliyodhaminiwa na Tigo

Masihi.m

Senior Member
Apr 5, 2013
104
66
Ikiwa imepita miezi kadhaa tangu wahitimu wa UDOM kuweza kuliwakilisha taifa kwenye mashindano ya 2016 MTN Entrepreneurship Challenge, Wahitimu hao wamekuwa tena washindi wa mashindano yaliyodhaminiwa na Tigo yajulikanayo kama Digital Change Makers Competition.
Washindi waliotangazwa na Tigo ni Nletcher Sofia Mwaliza(mhitimu wa CIVE-UDOM) na mwingine ni Nancy Sumari.
Mashindano ya MTN-entrepreneurship-challenge-2016,wanafunzi wa UDOM washika nafasi ya pili Africa

Reach for Change Tanzania | Facebook

Reach for Change Tanzania - Photos | Facebook

The University of Dodoma/cive | Facebook
 

Attachments

  • pic1.jpg
    pic1.jpg
    5.8 KB · Views: 109
Niliaminishwa UDOM ni chuo cha "kata". Wale ndugu zetu wako wapi ? WAPO!!!!! Tafakari. Ni vyuo vingi tu vyenye yao mazuri. Chuo kinaweza kuwa kibovu sehemu fulani na hicho hicho kikawa bora sehemu fulani. Hukumu za ujumla hazisaidii wanaotafuta elimu. Ahsante UDOM.
 
Ingia google tafuta vyuo 200,bora Africa 2017 utaona kwa Tanzania ni vyuo vitano tu vipo, Udsm ,sua, mzumbe, mhimbili na Udom, sio haba Tanzania tunazidi kusonga mbele kitaaluma.
 
Nadhani watu wanahitaji kusoma vigezo vya kufanya ranking ya vyuo duniani kati ya hivo Hanna kigezo cha entrepreneur ship challenge sijui upuuzi gani..
 
Back
Top Bottom