Recent content by WrongTurn

  1. W

    JamiiForums Tanzania Mwanamke niliyemsaidia na kumpenda ametoroka na mtoto wangu

    Nami Nlitaka Nimwambie Hivo Hivo, Hilo Lilikua Jini
  2. W

    JamiiForums Tanzania Rais ajaye aunde tume ya kuchunguza vyeti maofisini na iwe huru

    We Utakua Unatoka Kgm.
  3. W

    JamiiForums Tanzania Maziwa ya Azam yana hitilafu kimaelezo

    Hili Nalo B.i.ch.wa Maji Linaleta Udini Hapa, Hiloooo Kaanzishe Company Na Nguruwe Zako
  4. W

    JamiiForums Tanzania Tukemee wanawake wanaovaa nguo fupi

    Itabidi Tuanze Na FAIZA Wa Muheshimiwa SUGU. Tukiweza Kumbadilisha Faiza Kwa Wengine Itakua Kazi Ndogo.
  5. W

    JamiiForums Tanzania Nini kazi ya hizo Sayari zilizobaki ukiondoa Dunia?

    Ha Haa Haaa Umenikumbusha Mbali Mkuu. Nilipokuaga Mtoto Mi Nilijua Mwafrika Akifa Anaenda Kuzalia Mzungu Ulalya. Nilikua Nikiona Wanazika Mtu, Najua Kesho Tu Anakua Ulaya Tena Mzungu.
  6. W

    JamiiForums Tanzania Nini kazi ya hizo Sayari zilizobaki ukiondoa Dunia?

    Lakin Ukifikiri Kwa Kina Kama Kuna Ukweli Flan Hapa, Sema Tu, Tumekaririshwa Et Sayar Ya Dunia Tu Ndo Ina Viumbe, Kwa Hiyo Sayari Zoooooote Zilizobaki Ni Mapambo? Nakuunga Mkono Mkuu Huko Sayar Zingine Kuna Viumbe Vingine Tena Wanaishi Na Kuabudu.
  7. W

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya Perfume na Body spray?

    Hata Nami Nakubaliana Na Ww, Tofaut Kubwa Ni > Perfume Iko Ktk Mfumo Wa Maji Maji Na > Body Spray Ipo Ktk Mfumo Wa Gesi. Lakin Vyote Vinanukia Na Unaweza Kujipulizia Kwenye Mwili Au Kwenye Nguo.
  8. W

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Papa Francis

    Mkuu Tafadhali Hebu Nipe Hilo Andiko " Kama Kiungo Cha Mwili Kinakusababishia Dhambi Ni Heri Uking'oe" Mi Nataka Tu Nijiridhishe Maana Kwangu Nikilifuata Hila Andiko Naweza Kung'oa Vitu Vingi Na Kubaki Kama Zombi.
  9. W

    JamiiForums Tanzania Tukio la ujambazi VETA, Dar es Salaam

    Unashangaa Hilo Wakati Mwaka 2008 Majambazi Walichukua Pesa Ndani Ya Kituo Cha Polisi, Pale Msimbazi Post Kariakoo. Zilipigwa Risasi Kama Mvua Polisi Wakakimbia Kituo Wengine Wakalala Chini Ya Meza Wazee Wakavuta Mkwanja Wakasepa. Yani Mi Sina Imani Na Jeshi La Polisi Hata Kidogo.
  10. W

    JamiiForums Tanzania Kufunga swaumu

    Wapi Umeambiwa Waislam Wanaabudu Mwezi "Ewe Mgalatia Ishmael Usie Na A.k.i.l.i Nani Amekuloga?"
  11. W

    JamiiForums Tanzania Kagundua umri wa mke wake ni mkubwa kumzidi

    Duh..! Nlikuaga Nakufiria Kama Upo (18-25)Yrs. Na Una Watoto Wangapi? Ushaolewa Au Bado?
  12. W

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hii namba ni ya mtandao gani?

    Asante Sana Mkuu, You Open My Eyes.
  13. W

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hii namba ni ya mtandao gani?

    Nami ilikua Kwenye Namba Ya Voda, Dah! Hii Kali
  14. W

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hii namba ni ya mtandao gani?

    Habari Zenu Wana Jf. Mwenye Kuifaham Hii Namba Anisaidie +255901761234. Mara Ya Kwanza ilinipigia Nilikua Chooni Nikakuta Call Missed, Pindi Nikiipiga Sim Haiendi Inakata Tu. Siku Ya Jana Tena Ikanipigia Sim ilikua Chaji Nikakuta Tena Call Missed Kila Nikiipata Sim Haiendi inakata Tu. Naomba...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Maisha ya wachaga wengi yamo kwenye utumbo wa mbuzi

    Hapo Ndo Hua Namkumbuka MSHANA Jr Kwenye Topic Kuhusu NDAFU Na Wachaga. Yan Hawa Watu Ni Washirikina Balaa. Wapo Radhi Wafanye Lolote ilimrad Wapate Pesa.
Back
Top Bottom