Tukio la ujambazi VETA, Dar es Salaam

Tukio la ujambazi VETA, Dar es Salaam

Lazima tuweni wa wawazi juu ya hili.
Kasi ya ujambazi Dar inatisha,tena hawa jamaa wanajiamin sana wanapofanya matukioa yao.
Na kila baada ya tukio utasikia tumekamata Majambazi kadhaa yenye silaha,baada ya kufanya upekuzi majumbani kwao.Sasa je wale wanaofanya matukio live inakuwaje.

Kasi ya ukuwaji wa jiji la Dar na kasi ya usalama haviendani kabisaa.Na wengi wanavutana tu kutoka mikoani na kujazana Dar na kuona njia rahisi ya maisha ni hii ya Ujambazi,maana kwenye Majambazi mia basi mmoja anakamatwa.
Dar - Foleni- Majambazi - Panyarodi- Vibaka - Ukimwi

Yaani limekuwa jiji kama vile la kusadikikia.

Hapa serikali lazima ichukue hatua madhubuti sana na za kipekee la sivyo Dar inaweza kuwa jiji Hatari sana kwa Africa mtu kuishi,maana hata hayo majiji hatari yalianza hivihivi mwisho wa siku Serikali zilishindwa kudhibiti mitandao ya uhalifu.

Kuna siku nilisema kwamba Matukio ya uhalifu Dar karibia yoote yanaangalia udhaifu wa usalama.Maana kuna matukio yanatokea hadi unsema kwamba Polisi amehusika kumbe la,na hasa pale wafanya tukio wanavyojiamini.
Siku moja niliwahi kumuuliza Kaka yangu ambae anamiliki Silaha kihalali(Bastola),nikamuoambie mbona Dar raia wengi mnamiliki Bastola lakini ikitokea tukuo ambalo unaweza kulithibiti hata kwa kupiga bastola juu huwa hamfanyi hivyo kwa wenzenu.Jibu lilikuwa ni kamba kama unataka kuozea jela basi jaribu kufanya hivyo,alisema kwamba zile Bastola umiliki wake ni kwa ajili yako wewe tu,ukifanya hivyo utaenda jela na kuambiwa umefanya kazi ya polis.Na utasahaulika jela.
Ndio maana matukio karibia yoote ya ujambazi yanapofanyika basi amini usiamini kuna raia karibia wanne au watatu wanapokaribu na wana silaha na wanaweza kudhibiti tukio ila sheria hairuhusu hivyo.

Ushauri sasa,ni kwamba Wafunge CCTV kamera kama NAIROBI kenya,uone kama watu hawahami mji wenyewe.Maana niliona DEMO yao,yaani hata ukitupa sindano Camera in detect,ukivaa mask inavua yoote.Ni Teknolojia ya hali ya juu saaaana ila ni Gharama mnoo,maana hata wabunge wa Kenya walimshutumu Kenyata na kutishia kufungua kesi kwa mradi huo ila alikomaa na kusema lazima Mradi uwepo na hatimae wanaendelea na setings

La sivyo Jiji hilo limeishashindikana,imefikia kwamba kazi ya kuuza Unga imekuwa ngum na kazi ya Ujambazi ndio imekuwa rahisi sana kupata pesa
 
Halafu hivi Jiji la Dar Serikali kweli imeshindwa kuwaka Cameras kwenye Barabara kubwa?
Sie huku Zanzibar tunamshukuru Mungu kwamba Mradi huo umeanza.
Tunakuwa kama Jiji la Nairobi sasa.

Yaani ukifanya isue ndugu yangu huchukui muda upo mkononi mwa Polisi.

Na ndio maana hao wenye bodaboda Majambazi wanafanya matukio kwa kujiamini,ana muda mfupi aliefanya tukio anarudi hapo hapo kusikiliza mnaongea nini.hahaha.

Naipongeza Sana Serikali Ya Mapinduzi Zanzibar kwa kuweka CCTV Cameras zenye uwezo mkubwa sana wa Level ya Kimataifa kwenye Barabara kuu.

Huko nzeji mnavyojuana kama vile watoto wa mama mmoja,wezi watakoma.
 
Pole sana mliofikwa na tukio hili.

Jeshi letu la Polisi huwa linapata taarifa za Kiintelijensia mapema endapo kuna maandamano ya wananfunzi au wanachma wa vyama vya siasa vya Upinzani.

mfano siku CUF walipoandamana, Jeshi letu tukufu lilipata taarifa mapema sana kuwa kuna hatari ya tukio la kigaidi endapo wakiruhusu maandamano kufanyika hivyo wakafika kabla ya magaidi kufanya uhalifu kwa wananchma wa CUF.

Lakini kwa tukio la Ujambaazi wa kutumia silaha, huwa wanachelewa sana kupata taarifa za Kiintelijensia, wanapata wakati tukio limeshafanyika na wahusika wameondoka. Ndipo wanafika eneo la tukio kwa mikwala mingi.

Hivyo tuwavumilie tu, ndio tanzania nchi yenye Amani na Utulivu hii. Mnashangaa nini!!!!!!!!!!

View attachment 263075

View attachment 263076

View attachment 263077

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

Mimi ikinitokea wakanipiga hivi, labda waniue la sivyo nitalipa Mara kumi yake
 
Lazima tuweni wa wawazi juu ya hili.
Kasi ya ujambazi Dar inatisha,tena hawa jamaa wanajiamin sana wanapofanya matukioa yao.
Na kila baada ya tukio utasikia tumekamata Majambazi kadhaa yenye silaha,baada ya kufanya upekuzi majumbani kwao.Sasa je wale wanaofanya matukio live inakuwaje.

Kasi ya ukuwaji wa jiji la Dar na kasi ya usalama haviendani kabisaa.Na wengi wanavutana tu kutoka mikoani na kujazana Dar na kuona njia rahisi ya maisha ni hii ya Ujambazi,maana kwenye Majambazi mia basi mmoja anakamatwa.
Dar - Foleni- Majambazi - Panyarodi- Vibaka - Ukimwi

Yaani limekuwa jiji kama vile la kusadikikia.

Hapa serikali lazima ichukue hatua madhubuti sana na za kipekee la sivyo Dar inaweza kuwa jiji Hatari sana kwa Africa mtu kuishi,maana hata hayo majiji hatari yalianza hivihivi mwisho wa siku Serikali zilishindwa kudhibiti mitandao ya uhalifu.

Kuna siku nilisema kwamba Matukio ya uhalifu Dar karibia yoote yanaangalia udhaifu wa usalama.Maana kuna matukio yanatokea hadi unsema kwamba Polisi amehusika kumbe la,na hasa pale wafanya tukio wanavyojiamini.
Siku moja niliwahi kumuuliza Kaka yangu ambae anamiliki Silaha kihalali(Bastola),nikamuoambie mbona Dar raia wengi mnamiliki Bastola lakini ikitokea tukuo ambalo unaweza kulithibiti hata kwa kupiga bastola juu huwa hamfanyi hivyo kwa wenzenu.Jibu lilikuwa ni kamba kama unataka kuozea jela basi jaribu kufanya hivyo,alisema kwamba zile Bastola umiliki wake ni kwa ajili yako wewe tu,ukifanya hivyo utaenda jela na kuambiwa umefanya kazi ya polis.Na utasahaulika jela.
Ndio maana matukio karibia yoote ya ujambazi yanapofanyika basi amini usiamini kuna raia karibia wanne au watatu wanapokaribu na wana silaha na wanaweza kudhibiti tukio ila sheria hairuhusu hivyo.

Ushauri sasa,ni kwamba Wafunge CCTV kamera kama NAIROBI kenya,uone kama watu hawahami mji wenyewe.Maana niliona DEMO yao,yaani hata ukitupa sindano Camera in detect,ukivaa mask inavua yoote.Ni Teknolojia ya hali ya juu saaaana ila ni Gharama mnoo,maana hata wabunge wa Kenya walimshutumu Kenyata na kutishia kufungua kesi kwa mradi huo ila alikomaa na kusema lazima Mradi uwepo na hatimae wanaendelea na setings

La sivyo Jiji hilo limeishashindikana,imefikia kwamba kazi ya kuuza Unga imekuwa ngum na kazi ya Ujambazi ndio imekuwa rahisi sana kupata pesa

Taa za kuongozea magari ni shida ndio wataweza kuweka kamera?
 
Pale wanajua,ila kuna kichaka na mtandao mkubwa kama ule Mtandao aliokuwa nao PAPAA Mussoo....enzi zake.
Sasa kuukatisha inataka kazi kweli.
Halafu tena leo wanasema huyu Papaa Msofe kaachiwa
basihapafai tena Dar kuweka hela autoa 3m tu Bank teller na majambazi wanazitamani
nikija na na masemi ya malori ya mzigo wa mahindi hapo Tandale sijui nitazipokeaje 100m si wataniua
 
Pale veta mataa ya Chang'ombe Kuna maaskari wengi sana ilikuwaje hao majambazi walikimbia?

Unashangaa Hilo Wakati Mwaka 2008 Majambazi Walichukua Pesa Ndani Ya Kituo Cha Polisi, Pale Msimbazi Post Kariakoo. Zilipigwa Risasi Kama Mvua Polisi Wakakimbia Kituo Wengine Wakalala Chini Ya Meza Wazee Wakavuta Mkwanja Wakasepa. Yani Mi Sina Imani Na Jeshi La Polisi Hata Kidogo.
 
Pale veta mataa ya Chang'ombe Kuna maaskari wengi sana ilikuwaje hao majambazi walikimbia?

nilishuhudia hilo tukio live kulikua na maaskari wawili na silaha karibu na eneo la tukio walikua busy kukamata kukamata suzuki carry iliyokua na mzigo wananchi wenye tulitaka kuwapiga bahati mbaya walifyatua risasi juu
 
Khaa!! Hapa dawa yake mwanadsm mwenye miaka 18+ apewe AK47 yake bure ajilinde mwenyewe na kama mbwai na iwe kwani polisi wamezidiwa sasa
 
Kwani aliyekwambia pikipiki haziruhusiwi mjini ni nani..?? Kuna utaratibu tu wa kuufuata.. Kibali cha mwaka Tshs 150,000/- unaingia...

Bado hatujaanza kutoa vibali tunafanya research ila tukifanikiwa tutaanza na Baja.
 
Pole sana mliofikwa na tukio hili.

Jeshi letu la Polisi huwa linapata taarifa za Kiintelijensia mapema endapo kuna maandamano ya wananfunzi au wanachma wa vyama vya siasa vya Upinzani.

mfano siku CUF walipoandamana, Jeshi letu tukufu lilipata taarifa mapema sana kuwa kuna hatari ya tukio la kigaidi endapo wakiruhusu maandamano kufanyika hivyo wakafika kabla ya magaidi kufanya uhalifu kwa wananchma wa CUF.

Lakini kwa tukio la Ujambaazi wa kutumia silaha, huwa wanachelewa sana kupata taarifa za Kiintelijensia, wanapata wakati tukio limeshafanyika na wahusika wameondoka. Ndipo wanafika eneo la tukio kwa mikwala mingi.

Hivyo tuwavumilie tu, ndio tanzania nchi yenye Amani na Utulivu hii. Mnashangaa nini!!!!!!!!!!

View attachment 263075

View attachment 263076

View attachment 263077

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

Wewe siku hizi sio tena GT kama zamani, watu tunapokea taarifa za kifo kwa masikitiko wa uko bize na mapicha ya kipolisi yenye kujijenga kisiasa! we vipi? we lini ulishatoa hata taarifa ya uhalifu ikaokoa watu? au unadhani taarifa zinatoka mbinguni? ni sisi raia ndio tunapashwa kutoa taarifa mapema sio kukimbilia mitandaoni kuleta siasa.
 
Bado hatujaanza kutoa vibali tunafanya research ila tukifanikiwa tutaanza na Baja.

We hujui... Unaona wale wanapaki pikipiki pale posta mpya yanaposimama mabasi ya Mwenge..??? KWa nini wasikamatwe wale..?? Wana vibali ndugu.. We hushangai kwa nini wale wanaachwa halafu wanakamatwa wa barabarani..??
 
Pole sana mliofikwa na tukio hili.

Jeshi letu la Polisi huwa linapata taarifa za Kiintelijensia mapema endapo kuna maandamano ya wananfunzi au wanachma wa vyama vya siasa vya Upinzani.

mfano siku CUF walipoandamana, Jeshi letu tukufu lilipata taarifa mapema sana kuwa kuna hatari ya tukio la kigaidi endapo wakiruhusu maandamano kufanyika hivyo wakafika kabla ya magaidi kufanya uhalifu kwa wananchma wa CUF.

Lakini kwa tukio la Ujambaazi wa kutumia silaha, huwa wanachelewa sana kupata taarifa za Kiintelijensia, wanapata wakati tukio limeshafanyika na wahusika wameondoka. Ndipo wanafika eneo la tukio kwa mikwala mingi.

Hivyo tuwavumilie tu, ndio tanzania nchi yenye Amani na Utulivu hii. Mnashangaa nini!!!!!!!!!!

View attachment 263075

View attachment 263076

View attachment 263077

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

Unajuwa ulicho andika kweli?
 
Back
Top Bottom