Msaada: Hii namba ni ya mtandao gani?

Msaada: Hii namba ni ya mtandao gani?

Msiogope ni za Airtel zile za promosheni. Pole sana. Ukipokea wanaanza maujinga yao mara muziki mara vifurushi etc
 
ddduh, walinipiga Leo mchana...nilivyoona Kama namba ya kichawi vile....nikakata tuu
 
Habari Zenu Wana Jf.
Mwenye Kuifaham Hii Namba Anisaidie +255901761234. Mara Ya Kwanza ilinipigia Nilikua Chooni Nikakuta Call Missed, Pindi Nikiipiga Sim Haiendi Inakata Tu. Siku Ya Jana Tena Ikanipigia Sim ilikua Chaji Nikakuta Tena Call Missed Kila Nikiipata Sim Haiendi inakata Tu.
Naomba Msaada Kwa Mwenye Kuijua Au Kuifahamu Namba Hii Anifahamishe.
Natanguliza Shukrani Zangu Za Dhati Kwenu.
 
Hata mm nlipigiwa kwenye # yangu ya voda
hawa jamaa watakuwa matapeli tu, wanajaribu ku rusha ndoano wa one kama wataweza kuvua samaki....wakati sisi wengine ni makambale imekula kwao
 
Hata mim ilinipigia hyo namba nilikuta missed call kwenye namba yangu ya voda, ngoja waje wanaoifahamu watuambie maana nilibaki na maswali tu.
 
Hata mm nlipigiwa kwenye # yangu ya voda
hawa jamaa watakuwa matapeli tu, wanajaribu ku rusha ndoano wa one kama wataweza kuvua samaki....wakati sisi wengine ni makambale imekula kwao

Nami ilikua Kwenye Namba Ya Voda, Dah! Hii Kali
 
Habari Zenu Wana Jf.
Mwenye Kuifaham Hii Namba Anisaidie +255901761234. Mara Ya Kwanza ilinipigia Nilikua Chooni Nikakuta Call Missed, Pindi Nikiipiga Sim Haiendi Inakata Tu. Siku Ya Jana Tena Ikanipigia Sim ilikua Chaji Nikakuta Tena Call Missed Kila Nikiipata Sim Haiendi inakata Tu.
Naomba Msaada Kwa Mwenye Kuijua Au Kuifahamu Namba Hii Anifahamishe.
Natanguliza Shukrani Zangu Za Dhati Kwenu.

mkuu hiyo ni service number tu.
ukiligiwa tena unaweza ukaipotezea tu maana haina umuhimu wowote..
ukiona kero basi fanya hivi;
1. Save hiyo namba kwenye simu halafu ui-block.
2. Download app inaitwa TRUECALLER, tumia hiyo kublock namba kama hizo.
 
Asante Sana Mkuu, You Open My Eyes.
 
So Airtel jamam tujulishane wamenipigia mm Leo pia nilikuwa mbali na sim naomba mtujuze mnaoifaham.
 
Nami nimepigiwa leo hii kwenye line ya voda, nimepokea lakini wako kimya hawaongei...baadae nimekata then nimejaribu kugoogle hiyo namba ndio nikaletewa huu uzi wa JF. Namba yenyewe ni +255901761234
 
Simu zote zinazo anzia na code +255 zinatoka hapa hapa nchini, sina shaka namba zinazo fuatia zinaweza kuwa zinatumiwa kwa matangazo ya biashara halali na biashara ya kumaghusi (haramu).

Matangazo haramu hayawezi kutangazwa bila ya kuwa na ushirikiano wa wataalamu kwenye mitandao ya makampuni ya simu nchini, hapo inaonyesha wazi wazi jinsi ya taasisi ya TCRA ilivyo nyoro nyoro i.e aitimuzi wajibu wake ipasavyo, Kampuni za simu zinajifanyia wapendalo bila ya kuogopa a watch dog.
 
inteljensia hiyoo maana tz tunasema lowassa rais wa mioyo yetu wanataka kujua
 
Wadau hope hamjambo wote. Number hii +255901761234 imenipigia mara nne , je ni ya ofisi gani jamani?

Help me
 
nilikuwa mbari na simu, c wajua siku hzi haturuhusiwi kukaa na ofisi karibu maofisini uku?
 
Back
Top Bottom