Recent content by wopiha

  1. W

    Waliosaini mikataba mibovu wanakula raha, Yeriko Nyerere amelala sero

    Hiyo ndiyo Tanzania chini ya CCM.
  2. W

    Sheria yetu ya madini na wabunge wasioelewa dhima yao

    Angefaidika vipi wakati amesema hafanyi kazi na wapinzani? Amebadili mwelekeo lini? Angalia vijana wake Bashite na Gambo wanavyowafanyia viongozi wa upinzani na hakuna anaekemea sasa ushirikiano Lisu atautoalea wapi? Acheni soga za hapa JF.
  3. W

    UTEUZI: Rais Magufuli ateua Naibu Magavana wawili wa Benki Kuu ya Tanzania(BoT)

    Homeboy hachunguzwi,tutapindisha hata katiba.
  4. W

    SERUKAMBA: Kwa hili la mchanga wa Madini, MAGUFULI atatikisa dunia

    Maskini Serukamba,maskini CCM,siamini masikio yangu haya anyosema Serukamba uyu wa CCM.Alikuwa wapi muswada wa sheria ya madini unaletwa kwa dharura kama vile tuna vita.Alikuwepo wakati wabunge washindani wakipinga muswada huu.Namuona Serukamba anaepiga meza kwa nguvu kuunga mkono,namuona...
  5. W

    Shilingi imeimarika? Kwanini serikali inapenda kusema uongo hata kwa mambo yaliyo wazi?

    Hao mawaziri wanaotakiwa ndani ya CCM,ukiwa mkweli unatumbuliwa.Lazima useme uongo kwani ukisema ukweli unaitwa mpinzani.
  6. W

    Ushuru Stand ya UBUNGO ni halali? unasimamiwa na nani?

    Hawawezi kuruhusiwa kujenga sababu tu ni ukawa.Uliza Moshi wanavyozungushwa.
  7. W

    Ushuru Stand ya UBUNGO ni halali? unasimamiwa na nani?

    Muulize Bashite maana mabaraza yote ya madiwani hayafanyi kazi tena wenye kufanya kazi ni wakurugenzi na wakuu wa wilaya na mikoa.Hata bajeti za mwakani ili kuondoa lawama waachiwe wapitishe wao.Njoo Arusha mambo ni shaghala bagala.Mkuruenzi ndiyo mungu mtu.
  8. W

    Wakati nchi ikijiandaa katika Vita ya kiuchumi na ACACIA, Mfahamu vizuri Peter Munk

    WanaCCM,walikuwa wapi siku zote?Wakati akina Lisu na Zito wanapiga kelele Bungeni wanaCCM,wazalendo wa leo wanamapinduzi walikuwa wanazomea wamelikoroga wao,ubaya ni kwamba tutalinywa wote.Busara kwa wanaCCM,ni kunyamaza acha wazomewe maana wanastahili kuzomewa sasa.
  9. W

    Tundu Lisu, treni ishaondoka, pole sana!

    Hakika hawana aibu hawa mabwana ndiyooooo.Wamesahau kuwa ndio ambao walipitisha sheria kwa mbwembwe na kejeli kwa wapinzani sasa wanaendeleza tena ndiyo mzee.
  10. W

    Malisa: Wanapitisha kwa kura za NDIYO muswada jana leo walewale wanapongeza kwa ujinga wao,

    Full nyumbu wa Lumumba alafu wanajidai wana uchungu na Tanzania.Wanafiki wakubwa.
  11. W

    Waliyoyasema wapinzani Bungeni kuhusu sekta ya madini na gesi lakini wakaishia kupuuzwa

    m h Mkanyeni Pole pole aache kuropoka mwambieni yalishasemwa siku nyingi.Au ana ugonjwa wa kusahau?Awaombe radhi wapinzani.
  12. W

    Rais Magufuli iboreshe Taasisi ya Usalama wa Taifa

    Tiss wamekuwa na kazi ya kuuwa upinzani na kuilinda CCM.Hivyo hadi CCM,itapo jitambua kuwa hawana hati miliki na Tanzania tutakuwa na taasisi bora za kitaifa.Lakini kwa sasa ni ngumu kuwa na idara bora kwani akiongea Pole pole wanasikiliza,akiongea Bashite wanasilikiza wamesahau kuwa wao ni...
  13. W

    MASAHIHISHO: Report ya mchanga ina maswali mengi ya kujibu

    Tusubiri Tume ya wanasheria na wataalamu wengine ndipo tupate la kujadili kwa ni kujadili nusunusu hatuindei haki wala mwenye tume.
Back
Top Bottom