Recent content by Wolff

  1. W

    JamiiForums Tanzania Nani hasa anastahili kubeba BALLON D'OR

    Kombe la dunia ni michuano yenye hadhi kubwa sana kuliko michuano mingine yoyote, ndo maana mchezaji anaefanya vizuri zaidi kwenye michuano hiyo ni rahisi kupata tuzo ya mchezaji bora duniani. Ukirejea Fabio Cannavaro 2006, Ronald de Lima 2002, Zinedine Zidane 1998 na Romario 1994.Lakini timu...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Rajda Nainggolan atundika daluga timu ya taifa Ubelgiji baada ya kutemwa na kocha Roberto Martinez

    As a matter of fact i expected Belgium to dominate this world cup with two engines in midfield Mousa Dembele and Radja Naingollan. As a coach don't expect to control every player, others are demons and can't be controlled.All you have to do is to unleash them. Unleash the demon to brought hell...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Timu yenye washambuliaji wakali zaidi WC 2018

    Argentina ina washambuliaji wa kutisha sana, ila hawaendani. The best thing to do as an Argentina coach ni kupiga chini number 9 wote hapo juu. Unachezesha viungo watatu wa nguvu, pale mbele unaweka hawa jamaa watatu Messi, Dybala na Dimaria wanacheza zig zag moja hatari bila number 9. Lazima...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Final ya kesho haina maana,coz Chelsea wana mgomo.

    Oya vipi? Niwe wa kwanza kureply?
  5. W

    JamiiForums Tanzania Hivi ukimuondoa Harry Kane, England hawana World Class Player mwingine, Wanaenda kutembea tu Russia

    Kweli we ndugu una bifu kali sana na Uingereza!!!!!! Liverpool amekwenda fainali ya UEFA with some stunning performances of British midfield trio ya Jordan Henderson, James Milner and Alex oxlade Chamberlain. Left back best performances of Fabien Delph after Benjamin Mendy suffered a serious...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Forbes yatangaza watu 10 wenye ushawishi zaidi Duniani

    Shadrack Nsajigwa sijamuona kwenye list
  7. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Single Maza tena ........ Sijui hii league itaisha lini? Kiuhalisia Single Maza hana shida yoyote, isipokua mtoto/watoto wake ndo wanaweza wakaleta shida kubwa sana Wewe mwanaume ukishindwa kuendana na matakwa ya mtoto wake, mtoto huyo ataanza kuleta figisu kwa Mama yake na Mama kama mlinzi...
  8. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sex Time: Nachukua muda mrefu kutosheka

    Blood fu*ck Tudogo twingine bana
  9. W

    JamiiForums Tanzania Utajinasua vipi ukikutana na mwanamke huyu?

    Akojoe nini sasa?
  10. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kanitosa kisa mwanaume waliezaa nae

    Ndo nini sasa?
  11. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anashindwa kuongozana na mumewe sababu ana 'sura ngumu'

    Acha kutudanganya Mamiiiii
  12. W

    JamiiForums Tanzania Heshima ya SERIE A yarejea

    Mkuu Barca ni timu iliyotimia kila idara, ni lazima tuwape pongezi Roma ambao hata mechi ya kwanza pale Nou Camp walicheza vizuri sana. Pia kuna kitu kimoja watu tunashindwa kukifaham, hakuna klabu Ulaya kwa sasa yenye viungo waliotimia zaidi ya Daniele de Rossi, Radja Naingolan na Kevin...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Movies 250 bora kwa wakati wote

    Mkuu hivyo ulivyotaja hapo juu ni mawe tu Vyuma hivi hapa; 1.Terminator 2:The Judgment Day 2.Saving Private Ryan 3.Mad Max Fury Road 4.Gladiator 5.The Lord of The Rings:The Return of The King
  14. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke malaya, nimfanyaje?

    Maisha yamebadilika sana Ndugu Kamwe usijaribu kushika simu ya mwanamke umpendae au mke wako. Kamwe kamwe usijaribu hicho kitu Utakayo yaona humo yanaweza kukuadhiri kisaikolojia kwa muda wote wa maisha yako Wanawake hawa wa kitanzania wa sasa wapo kwenye kipindi cha mpito cha kuiga vitu...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kiafrika bwana.

    Na mimi leo nimekua wa kwanza kureply Dadadadadekiiiiiiiiii!!!!!!!!
Back
Top Bottom