Habari zenu wana JF,
Kuna kitu inahitaji msaada, mimi ni mwanaume ambaye mpaka sasa nipo single ila namega kisela mitaani, mara kadhaa wanawake nao mega wanalalamika nina nguvu sana.
Yaani nachukua muda mrefu sana kutosheka,ki kawaida huwa nachukua masaa mawili hadi matatu kama sijanywa pombe kali(spirit) kupiga shoo, nikinywa nachukua muda zaidi ya hapo.
Nimejaribu kucheki na marafiki zangu wananiambia nipo abnormal maana binadamu wa kawaida hawezi mwaga bao zaidi ya nne na akawa bado anapiga shoo nzito zaidi.
Hivi kuna tatizo lolote la kimaumbile maana natamani nami niwe naridhika ila sijawahi zaidi ya kuwaridhisha upande wa pili.