Rajda Nainggolan atundika daluga timu ya taifa Ubelgiji baada ya kutemwa na kocha Roberto Martinez

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Screenshot from 2018-05-22 20-07-06.png

Maamuzi ya makocha wakati mwingine ni ya ajabu sana. Unamuacha kiungo mkabaji aina ya
Nainggolan sijui unakuwa unategemea nini!
 
Yaani dah.!!!!!sasa yeye ndio anakuwa nae mazoezini na kambini wewe upo huku sijui unajuaje maenndeleo yake ndani na nje ya uwanja!!!unaambiwa jamaa yupo kama HARUNA MOSHI 'BOBAN' ni cha pombe hatari anaitwa kambini anakuja amelewa,hawezi kucheza mpaka avute sigara kiujumla nidhamu yake mbovu na ukiwalea watu namna hii utajikuta una kikosi cha walevi na wavutaji maana hata yule anayefanya kwa woga na kujificha atakuwa huru ....bora alivyoachwa
 
'Unaambiwa jamaa yupo kama HARUNA MOSHI BOBAN', tunaambiwa na nani au na wewe uliyenae kambini? Je vipi kocha wa Roma ameyavumiliaje hayo yote au akiwa Roma hafanyi hayo
 
Kama unaona anafaa mchukue wewe basi,we upo nyankunya huko hujui lolote unataka kumtoa akili mtaalam MARTINEZ.....yeye kaona fellaini bora kuliko huyo radja sasa msitupigie kelele,
 
'Unaambiwa jamaa yupo kama HARUNA MOSHI BOBAN', tunaambiwa na nani au na wewe uliyenae kambini? Je vipi kocha wa Roma ameyavumiliaje hayo yote au akiwa Roma hafanyi hayo
Ukizingatia roma ndio kwenye ajira yake wanamlipa na mshahara
 
Yani hata mimi ndo ningekuwa morata au martial ningestaafu hapo hapo tu maamae.
Martial nae mlitaka aitwe? Akacheze namba ya nani?

Dimitr Payet
Alexander Lacazete
Karim Benzema

Wote hao ni bora kuliko Martial na bado wameachwa. Katika team zilizojitahidi kubalance kikosi bila upendeleo, ufaransa ni moja wapo.

Eti Morata nae aitwe, mkuu unatania!

Watu wamemuacha Torres na experience yake ya world cup, ndo ije kua morata anaefunga once in a blue moon?
Aspas na Costa wanatosha kabisa!
 
Hatujalazimisha waitwe ila yanini kuendelea kuji-engage na national team wakati huna chance ya kuperform kwasababu hawajaona umuhimu wa wewe kuwa kwenye team.
 
As a matter of fact i expected Belgium to dominate this world cup with two engines in midfield Mousa Dembele and Radja Naingollan.

As a coach don't expect to control every player, others are demons and can't be controlled.All you have to do is to unleash them.

Unleash the demon to brought hell to his opponents, that's all you have to do to Radja Naingollan, hata Diego Costa ni hivyo hivyo.

Imeniuma sana. Roberto Martinez ruined Belgium even before the world cup started.
 
RAJA ni mtu .. tuache utani.. Yote kwa yote Belgium anasindikiza tu bora hata MEXICO
 
Linapokuja swala la nidhamu wenzetu Ulaya wapo makini hadi wanakera wangapi wana kashfa kibao lakini mpira wanaupiga fresh tu leo aonekane yeye ndo shetani hakuna mfano
 
Yaani dah.!!!!!sasa yeye ndio anakuwa nae mazoezini na kambini wewe upo huku sijui unajuaje maenndeleo yake ndani na nje ya uwanja!!!unaambiwa jamaa yupo kama HARUNA MOSHI 'BOBAN' ni cha pombe hatari anaitwa kambini anakuja amelewa,hawezi kucheza mpaka avute sigara kiujumla nidhamu yake mbovu na ukiwalea watu namna hii utajikuta una kikosi cha walevi na wavutaji maana hata yule anayefanya kwa woga na kujificha atakuwa huru ....bora alivyoachwa
mbona hatuoni AS Roma wakimkataa kwa sababu mambo ya nidham yana impact kotekote af nashangaa we umejuaje kuwa et matatizo ya kuwa chapombe ndo yamemkosesha ilhali kocha hajatoa sababu hizo

inshort pengo la radja litawagharimu sana hawa wabelgiji acha tusubiri
 
hata wazungu huwa machizi. huwezi muacha kabisa mchezaji kama Radja Naingollan.

huyo kocha kashawafucked up wenziwe.
 
naamini hii ni miongoni mwa hujuma kubwa sana tena nafkiri walimwacha ili mataifa yao yapate nguvu eapecially kwa huyu henry kichogo haiwezkan et felain na witsel ndo wakapambane na pogba na matuidi na kante duh
 
huyo witsel mwangalie hvyo hvyo....kwani hujaona perfomance yake???????...walau ungemweka yuri tielmas ambaye anaonekana kutokuwa na uzoefu national team
 
sijaona wa kufimkia radja kiukwel radja mpira anaupiga tena sio mpira wa masihara ni mpira wa kazkaz refer mechi yao na liverpool pale roma
 
Back
Top Bottom