Recent content by woiso woiso

  1. woiso woiso

    JamiiForums Tanzania Je, mikataba ya DP World iliyosainiwa ina kikomo cha miaka 30? Jibu hili hapa

    Baada ya kikao cha head line ilikua PAUL MAKONDA na sio DPW tena wakaenda mbali zaidi na kuaminisha uma kua tuko kwenye mwelekeo sahihi.
  2. woiso woiso

    JamiiForums Tanzania Simba sherehe kubwa Makombe na Mataji sifuri!

    Usitufokee kaa kwa kutulia ukweli ni kwamba sisi ndio tumeshika ukurasa wa nchi kwa mwezi mzima mfululizo tuna jambo letu kesho [emoji950]
  3. woiso woiso

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sifurahii Mgogoro wa Yanga na Feitoto. Nataka umalizike

    Ntaharisha mpka mlangoni , wengi mnaumia sababu ni yanga
  4. woiso woiso

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sifurahii Mgogoro wa Yanga na Feitoto. Nataka umalizike

    Pamojq na kwamba mliiwakilisha nchi kwa kiasi chake na mkapewa zawadi kede kede mpka ndege mkapewa lakini bado club ya Yanga mna fedheha kubwa inawagubika na kuwaumbua . Dhana yangu ni nini Wakati Dr Samia Sulhu Hasanai yuko katika kuponya majeraha na kuondoa migogoro na makovu yaloachwa na...
  5. woiso woiso

    JamiiForums Tanzania Kipanya awashukia askari wa trafiki

    Sijawai kusimamishwa na traffic akanambia naomba kukagua gari yako hawakagui tires,hand sign ,taaa ,honi ,mikanda ,breki za magari wakikusimamisha 1st think ni kudai leseni ili usiwe na nguvu ya kuondoka..
  6. woiso woiso

    JamiiForums Tanzania Kweli jiji la Dar es salaam leo linahitaji kiongozi aina ya Chalamila? Majukumu ya mkuu wa mkoa ni mepesi hivyo?

    Yani Afadhali mara 1000 huyo chalamila jiji la DSM linataka amsha amsha na kuwapa watu afueni ya matatizo yao ata kwa kuwadanganya . Sasa uyo Amos si mzee yule unaweza kukutana naea ata kidimbwi kweli? Ndio maaana alikua ana kauli za jazba na hasira kwasababu hajawaia kuona hata ugomvi bar ...
  7. woiso woiso

    JamiiForums Tanzania Pole mzee Malecela, amepoteza watoto wanne!

    Ni zaidi ya maumivu pale unapoona watoto wa wazee wenzio wanashika nafasi mbali mbali huko serekalini halafu watoto wako unawaona wanazidi kupukutika inauma sana . Pole nyingi kwa makamu wa Raisi wa zamani Mzee Malechella
  8. woiso woiso

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais Samia atoa ndege kwaajili ya kusafirisha msiba wa Le Mutuz

    Makamu wa raisi ni mtu mkubwa nafikiri hii ni kumuonesha bado tubatambua mchango wake
  9. woiso woiso

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole, una sifa za kuwa Rais wa Tanzania

    Maswali yako yote haya ni battili. Swali ni je Wakati akiwa kama katibu mwenezi wa ma sisi Emu katika mfumo alikua anaweza kuyazongumza au ni baada ya kuondolewa katika mfumo wa kulamba juisi na asali ndopo anakuja na dhamira ya kuwaaniika wengine kisa anazijua siri za ndani. Mimi nadhani sio...
  10. woiso woiso

    JamiiForums Tanzania Kufungwa kwa ziwa Tanganyika

    Kwa nchi.zinazotuzuguka sidhani kama wao wamefanya hili
  11. woiso woiso

    JamiiForums Tanzania Kufungwa kwa ziwa Tanganyika

    Nataka mwenye maelezo ya kina maana lilijibiwa jujutu.
  12. woiso woiso

    JamiiForums Tanzania Kufungwa kwa ziwa Tanganyika

    Bungeni kuliulizwa swali la kifungwa kwa ziwa tanganyika kutokana na samaki kupungua na moja kwamoja majibu yalitolewa kua suala la kufungwa lilichululiwa baada ya samaki kupungua. Swali la msingi ni Je? 1. Watafiti walitafiti upunguaji wa samaki? 2. Je wenye dhamana walijitangazia tu kufunga...
  13. woiso woiso

    JamiiForums Tanzania Magufuli hakika ulijitolea maisha yako kwa ajili ya Watanzania

    Alijitolea maisha yapi? Futa hiyo kauli sidhani kama unaongea jambo lenye busara mbele za watu ambao tuna majeraha ya mfumo dume wa kukandamiza kila sector
  14. woiso woiso

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Nyongo ya mamba ni sumu inayoweza kuua

    Mimi nadhani ni sumu na kama sio sumu bas swali langu la moja kwamoja linakuja kwanini mamba akifa au aitegwa kwanini maliasili wanawahi kuchukua jyo nyongo na ngozi?
  15. woiso woiso

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume na Deni lake kwa Musiba itakuaje?, Ukiona mwenzio ananyolewa....

    Kitu usichojua huenda uko ma sisi Emu kuna watu wakikuona utasumbua uko miaka ya usoni wanaku fyekea chini chap chile [emoji23]
Back
Top Bottom