kati
ya USA na urusi ni nani anaongoza kwa maovu.... ni nchi ngapi usa kavamia na hakuwa na ushahidi wa kutosha kuwa nci hzo ni za kidokteta au znamiliki nyuklia
external hard disk yangu ni kii conect kwenye laptop inaomba ku format namimi sitak kuiformat je kuna njia yoyote ille yakuifanya isome bila kuomba ku format
Hii hdd mwanzo ilikuwa na window ten so baada yakuitoa nakuiweka kwenyee laptops nyngne.ndo nikawaka window 7 '' kisha nika update driver kupitia app ya driver pack online
Baada yakumaliza c ndo nikaanza kuingiza pc apps mbali mbali
Lakin kila nikiingiza apps nikifungua inaleta ujumbe huo
nimepiga window 7 ultmte ila kila nikiingiza app nikifungua znaandka un able to start correctly/error [0xc0000005] je inasababishwa na nn? je nijins gani ya ku solve hili tatizo?
Mpaka leo tarehe 15 mwezi wanne askari polis mkoa wa morogoro hawajapata posho yao tarehe 15 mwez wa 3 je wakale wap au ndo kuwatia majarbun yakujiingiza kwenye vtendo vya rushwa?
hata me nahisi kuna kiini macho nahii nikwanin itokee baada yachmbi kuwacmamisha wengne je mda walikuwa wap? Je hzo m150 watazludsha vp achen hzo bana pengne mmekula wote baada yakunuka ndo mumeamua kuwa kuwaangushia jumba bovu askar wa chini nahv polisi wenyewe hawapendan na hawana uhuru mbona...
Kila nikfungua magame kwenye mypc inaniletea hyo sms je nifanyaje ili kusovu tatzo na hii nibaada yakuchange vga card nakuweka window mpya hata yupo jiran yangu mwenye tatzo kama hlo yeye limeaanza yakupga window mpya .nahtaj msaada wenu
unahkika gani' kama mziz mkavu hana copyright je unalijua jna halis la mziz mkavu ,anyway we knachokuuma nin haswa kama unaona shgongo hatendew hak nenda kashtak
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.