Wizobaby
Member
- Dec 3, 2011
- 41
- 8
Leo saa 8 usiku nimejiunga bila tatizo, nadhani kuna kitu walikua wanarekebisha. ukipiga *149*02# utaona something new check it out guys
wamewapendelea wa univacity 2 cc wapga wametuonea
Leo saa 8 usiku nimejiunga bila tatizo, nadhani kuna kitu walikua wanarekebisha. ukipiga *149*02# utaona something new check it out guys
wamewapendelea wa univacity 2 cc wapga wametuonea
UDSM hapa darmkuu college gan if i may ask?
mi mwneyewe nimejaribu kujiunga wakaniambia sipo maeneo so nafikiri ni sehemu tofauti na chuo. thanx for the heads upAisee mie sio mtu wa ku chart wala kupiga simu, leo wakati najiunga na university promotion ndio nikaiona, wacha nifatilie nitarudi kwa maelezo. UPDATE nimejaribu kujiunga now naambiwa "Ndugu mteja kwa sasa uko nje ya eneo la JIMUVUZISHE tafadhari piga *149*01# " naona nayo hii iko kimaeneo maeneo but mpaka sasa hawaja specify kua iko applicable maeneo gani.
CoICT DSM, currently residing in Mabbo H. Hopefully we'll bump into each other some day...
8.7Mbps mambo ya connectify hayo?