KABAAANG! 300mins & Unlimited(Internet+SMS)/wk...

KABAAANG! 300mins & Unlimited(Internet+SMS)/wk...

Wabongo sisi waoga wa kujilipua...
Hatujapata jasiri jamani?
 
kaabang nilijiunga jana wakanipa-- dk-300[dk 150-tigo-tigo, dk 150 mitandao mingine]. msg 5000, internet wakachukua mia 800 yangu, na hakuna unlimited internet, nikawaulizia kuhusu internet wakasema tatizo lipo, tupo kama wawili tumetoa malalamiko
 
Hakuna unlimited internet mh so walikuwa wanatuzuga 2,basi kama ni hvyo inabidi watuombe msamaha
 
mjomba ukisikia "booom" ujue ni bomu hiloo, je ukisikia "kabaang" itakua nn?
 
Tokea katikati ya February tigo wapo mabovu kabisa yaani speed imeshuka kinoma noma!!!
 
Ni ya ukweli kwenye hizo dak.150 kwenda mitandao mingine na 150 kwenda tigo na 5000sms!!!! lakini internet ni uwizi mtupu....ipo slow vibaya mno, kwanza inafanya kwenye edge sio 3G! wameniboa wamechukua 9000 yangu! nimeunga xtreme ile ya 50mb speed imerudi kama kawa 3G imeshiba. Kama shida yako ilikuwa kama yangu (unlimited internet) basi fanya mengine okoa elfu tisa yako....kama ni muda wa maongezi, sielewin unangoja nini mpaka sasa hivi hujajiunga na hiki kifurushi!!
 
Dah hawa ni wezi wakubwa, yaani mimi nilijiunga ili niweze kuwapigia ofisi fulani inayotumia TTCL lakini hiyo internet hadi sasa hajaanza kufanya kazi kwangu na ukiwauliza wahudumu wanadai kuna tatizo la kiufundi.
 
kabang ni wizi tu....wanatoa hizo dakika na sms...internet connection inakata kabisa....
 
nimejiunga na inaisha tarehe 8, mtandao unasumbua sana kwa maana ya internet hasa kwenye downloading, hata kutuma sms ni shida coz haziend kwa wakati zinakuwa pending sana nilidhani ni mtandao bt ni hii kabang, ila kwenye dakika ni full kujiachia hadi leo imebaki siku mbili bado nina salio la dakika 132, iko poa kwa kifupi
 
pole kaka ndo KABAAAANG!! hiyo
 
u
Nimeona hii kitu kwenye tiGo leo...
Kwa kawaida mimi huwa ni wa mwisho kujiunga na hizi promo,naomba wale wazee wa kujilipua watupatie majibu kuhusiana na speed.Maana isijekuwa yale ya fokoda,baada ya 700mb,unapata kitu cha tortoise...

Wanasema unatuma neno:KABANG kwenda 15711 kwa tsh 9000/- Unapewa dk.300 kwenda mitandao yote na unlimited internet na sms kwa wiki moja.
Natumia KABAANG ni mwendo wa raha mustarehe.....naangalia movie online mwanzo mwisho...nafanya fujo zote online....hakuna tatizo....
 
u
Natumia KABAANG ni mwendo wa raha mustarehe.....naangalia movie online mwanzo mwisho...nafanya fujo zote online....hakuna tatizo....

Mkuu Mimi nilijiunga J3 iliyopita ila Internet waliniunganishia Ijumaa iliyopita, ukweli ni kwamba hapa utafaidi dakika za Maongezi, ila internet hamna kitu. Kwangu ilikua na speed nzuri tu ila download inaonekana wameilimite mfano mimi nilidownload MB800 ikakata na mpaka sasa hata streaming haifanyi kazi hivyo mahisi kwako badobado.
 
Nimeona hii kitu kwenye tiGo leo... Kwa kawaida mimi huwa ni wa mwisho kujiunga na hizi promo,naomba wale wazee wa kujilipua watupatie majibu kuhusiana na speed.Maana isijekuwa yale ya fokoda,baada ya 700mb,unapata kitu cha tortoise... Wanasema unatuma neno:KABANG kwenda 15711 kwa tsh 9000/- Unapewa dk.300 kwenda mitandao yote na unlimited internet na sms kwa wiki moja.
Kwa voice na sms, imetulia Ukiactivate jumatatu inafika jumatatu inayofwata huja scracth voucher ingine NOTE: DAKIKA NI 150 TIGO-TIGO NA 150 TIGO-MITANDAO MINGINE, SMS NI 5000 , NET SIJUI MAANA MIE NIKO KWA BLACKBERRY PLAN AMBAYO IMETULIA
 
Nina tumia kabang week ya 2 ipo poa sana hata speed ya internet ipo poa sana no stress
 
Back
Top Bottom