Ilitokea ghafla katika barabara ya Makongolosi kuelekea Rungwa mkoani Mbeya. Ghafla kwenye kona mnyama simba kakutwa kajipumzisha katikati ya barabara eneo la pori la simba.
Wakati magari yakiwa yamesimama, mara Bodaboda akatokea na bila kujua akataka kuyapita kwa kasi (kuchepuka) ndipo...
Huyo aliyekutana na Mwalimu Nyerere kwao ikoje?
Soma hii!
Indian Greeting Customs and TraditionsWhat is Namaste?
Among all the countries in Asia, India can be placed among the top 2 or 3 most traditional country. We will first start out slowly with India. In this article, I will cover the...
Kikubwa ni kuwa na sera zinazotoa fursa kwa vitu kama hivyo kufanyika.
Mfano Alhaji Aliko Dangote (kutoka Nigeria) anajenga kiwanda cha simenti hapa nchini kinacho kadiriwa kugharimu takriban $600m. Je Rais Kikwete akienda kuweka jiwe la msingi itakuwa nongwa?
Juzi tuliambiwa kanusurika katika ajali ya helikopta. Jana usiku amekutwa akisimamia kazi pale Mbagala Kongowe lilipokatika daraja. Watu wameanza kupita.
Kuna taarifa zimesambazwa kuwa Tanroad wameifunga barabara ya Bagamoyo hadi Msata. Nikipata nakala nitaiweka kwataarifa. Kwa hali hiyo barabara ya Dar kupitia Mlandizi hadi Chalinze itakuwa na ongezeko kubwa la magari kwa sababu wengi tulianza kutumia barabara hiyo ya bagamoyo ambayo ilikuwa...
.. serikali ijipange kweli, kwani mabadiliko ya tabia nchi na hasa uharibifu mkubwa wa mazingira na maeneo mengi ya misitu kupotea kumesababisha mito mingi kubadili mwelekeo. Madaraja na miundombindu yote inatakiwa kufanyiwa tathmini ya kina.
.. na barabara hiyo bado haijakabidhiwa maana yake mkandarasi atakapofanya marekebusho atadai gharama nyingine tena inaweza kuwa mara kadhaa ya gharama alitoa wakati akipewa mkataba.
Inawezekana moshi wa magari ama harufu ya diseli huwa ina kilevi ndio maana baadhi ya madereva vichwa vyao iko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.