Recent content by wiser1

  1. W

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Wakazi wa Moshi: Fursa Adimu ya Kujifunza na Kufurahia Utalii wa Ndani

    Hakuna mkoa wa Moshi, ni mkoa wa Kilimanjaro!
  2. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dah! Wife umenivunja moyo aisee na siamin!!

    Miaka miwili +, msamehe maisha yaendelee mbele!
  3. W

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Dkt Deus Kibamba ametoa muelekea mzuri, kamsikilize youtubu
  4. W

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maria Sarungi na Mange Kimambi waache kuwatoa kafara vijana huku wao wakiwa wamejificha uvunguni nje ya Nchi wakiogopa kufa

    Ni aibu kubwa kusoma maandishi haya! Eee Mungu tusaidie
  5. W

    JamiiForums Tanzania Watanzania haswa vijana tusiwe "brain washed" na Mange Kimambi na wenzake huko ulaya, usitumike, mlinde mtanzania mwenzako, ilinde nchi yako

    Mnacho sahau ni kuwa “ hizi siyo enzi za Mwl Nyerere” watu wanajua wanataka nini, saa ngapi na wapi
  6. W

    JamiiForums Tanzania Waliochochea vurugu washughulikiwe

    Kuna wakati nasoma koment za watu NAGUNDUA shida ni Dharau! Watanzania miyoyo imechoka sana
  7. W

    JamiiForums Tanzania JWTZ tangazeni usiku huu kuchukua nchi. Enough is enough.

    Uko sahihi! Hatuhitaji Jeshi, tunahitaji serikali ya wananchi ya mpito kuturusha kwenye hii crisis! Tabia ya JESHI ni moja tu, wakichukua nchi wananchi na serikali wote TUMESHINDWA! Na jeshi likichukua nchi HUWA HAIJULIKANI LINI WATAIREJESHA na hakuna mtu ataongea kitu!
  8. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usiku huu wewe na mkeo au mpenzio mko mnatumia style gani kukulana?

    Tukiwa tunaelekea siku ya tarehe 29 kuna nyuzi HAZITAKIWI KUPEWA AIRTIME!
  9. W

    JamiiForums Tanzania Mna-save vipi pesa?

    PM nikupe ushauri wa bure kabisa! Hutojutia
  10. W

    JamiiForums Tanzania Be very careful what you wish for!

    Uko sahihi! Wao wawepo kulinda WANANCHI SIKU TA TAREHE 29! Wananchi wanajua wanachotaka! Jeshi liwepo kuwalinda wasikutwe na chochote!
  11. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi haya maandamano ya tarehe 29 ni ya CHADEMA au mbona sielewi?

    Maandamani ni ya WANANCHI, CHADEMA HAIHUSIKI! CHADEMA NI WAANZILISHI WA NO REFORMS NO ELECTION, TOFAUTI NA HAPO MAANDAMANO NI YA WANANCHI!
  12. W

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Mjane wa Justice Rugaibula avamiwa, atolewa kwenye nyumba aliyoachiwa na mumewe pamoja na wapangaji wengine

    Case solved hii! Namuona Mh Chalamila keshafika mapema sana! Tengeneza tatiozo tatua tatizo
  13. W

    JamiiForums Tanzania Mshana Jr...without sunglasses

    Inapendeza kukufahamu mkuu! Mungu mwema akutunze
Back
Top Bottom