Recent content by Wise J

  1. W

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kutatua tatizo la gari kushtuka unapoweka gia ya D

    Ahasanten kwa maoni na muongozoo
  2. W

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kutatua tatizo la gari kushtuka unapoweka gia ya D

    Wakuu poleni na majukumu nnaomba kuulizia ttzo la gari ukiwa unaendesha make hi ina auto na manual. Sasa ukiwa unaendeshea upande wa auto ile gia kujibadili gari inakua kama inastuka flani hivi. Nimeulizia baadhu ya watu wamedai nibadili gearbox oil na ushauri mbalimbali, hivyo nnakaribisha...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Mwenye simu anayeuza aniPM

    eeeeh mkuu nlichelewa kuiona mesej yako simu iko fresh yan miez mnne had sasa ni rangi ya gold na white simu kali kinoma yan warant nntakupa miez mi3 yan
  4. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta dereva mzoefu

    mkuuu ile noah bado unayo au ishapata mtu
  5. W

    JamiiForums Tanzania Naweza kuwa dereva wa Uber ilhali mimi ni binti?

    ahahahhahahaaha kaka mkubwa aku a au sio
  6. W

    JamiiForums Tanzania Naweza kuwa dereva wa Uber ilhali mimi ni binti?

    mkuu uber acess yake haiangalii jinsia ni mambo ya mtandao
  7. W

    JamiiForums Tanzania Mwenye simu anayeuza aniPM

    kuna iphn 5 plain 150k
  8. W

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nataka kuifanya gari yangu ya IST kuwa ya biashara ya Uber

    nichek PM mkuu ikibidi tubadilishane namba tuongee A-Z
  9. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Jana sasa ile mida ya usiku natoka zangu naelekea kuchek mpira mechi ya Chelsea na Arsenal nikapita sehm kuulizia chakula maana nlikua njaa kinoma ,kufika mgahawa washafunga lkn pemben kuna kiduka nikafika nikaketi pale kama kawa lazim usalimie ,nkampa hai muuzaj ni mdada stori mbili tatu mara...
  10. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    mm niko nakula hilo tunda sasa hiv na hapa niko mapumziko kesho tukijaaliwa ntaelezea nmelipataje maombi yenu tafadhari maana naahid sitowaangusha ngoja niipeperushe bendera vzr
  11. W

    JamiiForums Tanzania Natafuta dereva mzoefu

    hahahah hii inaonesha wazi unaelezea kitu kwa kusikia kwa watu yaani kuambiwa xaaa mkuu kama unajua Airpot wanalaza mpaka laki 3 na unatafta gari kaka kwann usichukue hahaha naww ukalaze laki 3 pale Airpot any way natania kaka kaz ya gar kubwa ngum na hapo Airpot connection yake xio ya kitoto...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Mtanzania apata mabilioni, Auza mfumo wa kununua Gesi kadri unavyotumia

    mbn simple tuu chukua kitambaa chenye maji fanya kama unaufuta mtungi wako sehem itakayokauka hapo ndna ges hakuna na itakayobaki na ibich ndio level gas ilipo
  13. W

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua biashara ya Uber kwa mkataba

    Lakini kwa ufupi Hesabu ya kawaida Hapa boss atatakiwa kufanya service zote kasoro ndogo ndogo kama pancha nk mbapo dereva ataleta rejesho mtakalokubaliana kwa week mbili hapa ni mkataba hapa dereva ataleta rejesho kila week na service zote atafanya yy mpka mwisho wa mkataba wenu NB :suala la...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua biashara ya Uber kwa mkataba

    Mimi ni dereva mzur tuu nitafaa kwa huo mkataba nichek tufanye kaz
Back
Top Bottom