Naomba msaada wa kutatua tatizo la gari kushtuka unapoweka gia ya D

Wise J

Member
Jul 31, 2019
47
112
Wakuu poleni na majukumu nnaomba kuulizia ttzo la gari ukiwa unaendesha make hi ina auto na manual. Sasa ukiwa unaendeshea upande wa auto ile gia kujibadili gari inakua kama inastuka flani hivi.

Nimeulizia baadhu ya watu wamedai nibadili gearbox oil na ushauri mbalimbali, hivyo nnakaribisha maoni kwa yoyote mwenye idea itakayosaidia hapa.

Karibuni.
 
Poa kuna gari Rav 4 ina hii tabia. Ngoja nisome nijifunze. Pia wakat wa kuachia brake inakoroma. Na kuna wakati nikiwa speed 80 - 100 kuna mkoromo huwa nausikia

Emaphakadeni
 
Wakuu poleni na majukumu nnaomba kuulizia ttzo la gari ukiwa unaendesha make hi ina auto na manual. Sasa ukiwa unaendeshea upande wa auto ile gia kujibadili gari inakua kama inastuka flani hivi.

Nimeulizia baadhu ya watu wamedai nibadili gearbox oil na ushauri mbalimbali, hivyo nnakaribisha maoni kwa yoyote mwenye idea itakayosaidia hapa.

Karibuni.
Cheki transmission fluid mkuu. Aidha haipo kwenye level inayotakiwa au inabidi ubadilishe
 
Wakuu poleni na majukumu nnaomba kuulizia ttzo la gari ukiwa unaendesha make hi ina auto na manual. Sasa ukiwa unaendeshea upande wa auto ile gia kujibadili gari inakua kama inastuka flani hivi.

Nimeulizia baadhu ya watu wamedai nibadili gearbox oil na ushauri mbalimbali, hivyo nnakaribisha maoni kwa yoyote mwenye idea itakayosaidia hapa.

Karibuni.
Mi wakat nimenunua kiusafiri changu kulikuwa na hio shida kwenye gear ya reverse. Ukii engage inalia "kaaap" sambamba na mshtuko.
Nikaenda kwa fundi nikapewa list ya vitu vya kubadili culprit alikuwa engine mounting na bushing kadhaa japo nilibadili na suspension zote tatizo likawa limeisha.
 
Back
Top Bottom