Recent content by Wisdom

 1. Wisdom

  Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

  Good morning Vodacom Tanzania, nataka kujua mnafanya roaming na nchi gani za Afrika mashariki? Ninataka kutembelea Rwanda, Burundi na Uganda hivyo itakuwa busara zaidi nikijua ni wapi niendelee kujidai na Vodacom na ni wapi nikanunue sim card?
 2. Wisdom

  Waimbaji nyimbo za injili wanakera sana

  Siamini katika falsafa ya kutoleana maneno ya kejeli ila ninachoweza kukuambia ni kuwa umekariri na unakosa "exposure". Kwa taarifa tu ni kuwa vazi rasmi la wanaume nchini Scotland ni sketi, kwa hiyo usikariri ukafikiri nchi zote ziko kama ya kwako!
 3. Wisdom

  ist nisaidie inakula mafuta zaidi ya kawaida

  plugs na nimesafisha nozels Maelezo yako yanajikanganya hakuna gari yenye spark plugs na nozzles kwa wakati mmoja labda ufafanue ulikuwa unamaanisha nini?
 4. Wisdom

  Maandiko kama haya yana maana gani?

  Kwa akili ya kawaida unaweza ukagikiri Biblia imejichanganya la hasha, unajua hofu huwa inaondoa uwepo wa Mungu katika maisha ya wanadamu na uwepo wake ukiondoka Mungu hawezi kukubariki. Huu mstari haumaanishi kuwa usifanye kazi bali unamaanisha fanya kazi ya halali kwa kutumia mikono yako na...
 5. Wisdom

  Nini Ambacho Familia ya Mandela Imeficha Ulimwengu Katika Hatua ya Mwisho ya Mazishi

  Kazikwa pamoja na mtu ambaye yuko hai ndo mila inavyotaka lakini kwenye public eye wamesema anazikwa na ng'ombe dume!
 6. Wisdom

  TRA inanuka rushwa (tafadhali serikali wachunguze wafanyakazi wa idara hii)

  Ni nani alikuambia kujenga nyumba au kuwa tajiri kunategemea ukubwa wa mshahara? Kitu cha muhimu ni discipline ya hela tu wala si kiasi cha hela kinachoingia. Ntakupa mifano: 1. Kuna afisa mmoja wa Benku kuu ya Tanzania analipwa mshahara wa TZS 6M na point kadhaa achilia mbali marupurupu...
 7. Wisdom

  Mashtaka ya ugaidi Tabora yafutiliwa mbali, Henry Kilewo na wenzake 4 huru kwa tuhuma hizo

  Wewe siyo mzima lakini statement yako imenifanya niujue zaidi ukuu wa Mungu kuwa katika kuumba katuumba watu wenye akili timamu na mapompompo kama wewe!
 8. Wisdom

  Milipuko huko kigamboni

  Siyo Kigamboni ni hapa maeneo ya Namanga wanalipua baruti ila sijajua ni kwa sababu gani.
 9. Wisdom

  Food for thought! Economic growth ‘not same as economic development’

  For the past 10 years, Tanzania has been proudly announcing promising growthfigures released by the World Bank and International Monetary Fund.Statistics show that Tanzania's economy has been growingat the rate of 6-7 per cent for about a decade now.Economically speaking, 6-7 per cent is an...
 10. Wisdom

  Clouds FM wamburuza mahakamani Lady JayDee, kesi yapigwa kalenda hadi Mei 27...

  Nyani Ngabu siyo pro-clouds, ni mtangazaji wa clouds! Kwani humjui?
 11. Wisdom

  Watoto wa vigogo na ajira BoT

  Umbea mbaya sana hasa ukiwa unafanywa na wanaume!
 12. Wisdom

  Unataka Utajiri? Njoo Tunduma haraka!

  Matthew 16:26 KJV For what is a man profited, if he shall gain the whole world, and lose his own soul? or what shall a man give in exchange for his soul?
 13. Wisdom

  hivi precision air au Fast jet wana flight ya mbeya?

  Kwa sasa mby kuna freightlink ambayo ni ndege ndogo na inauwezo wa kubeba abiria 14 nauli ni 418,250 return. Precision air kwa kutumia ndege yao aina ya ATR 42-600 wanaanza safari za Mby (MBI) Tarehe 16 Januari 2013 na itakuwa mara 3 kwa wiki nauli yake ni 219,000 return! Kwa maelezo...
 14. Wisdom

  On STAR TV: Ipi misingi ya Amani? Sehemu ya Pili

  Hata Nape akikataa, ukweli ni kwamba CCM wanatawala kwa mabavu kwa kutumia dola!
 15. Wisdom

  CUF hamasisheni ushiriki wa sensa

  Waislam acheni kulalamika hovyo, wanawake na watoto walilalamika sana wakasema wanaonewa wakaundiwa wizara yao. "Wizara ya wanawake, jinsia na watoto" na nyie mkiendelea kulalamika tutawaunganisha kwenye hiyo Wizara na sasa itasomeka "Wizara ya Wanawake, waislam, jinsia na watoto"
Top Bottom