Recent content by wis1

  1. W

    A friend to talk to

    Hahahah mmenifurahisha! Yani stress due to Man utd! Football is fun aint stress ingawa kweli manu msimu huu mmh! Natafuta shabiki wa Arsenal anipe ufundi on how to hold on to this.
  2. W

    A friend to talk to

    Hello everyone, Iam Colins,29 yrs male,Dsm. Iam friendly,fun,charming,easy to get along with,honest and genuine. I work. Looking for friends,those i can talsocialize and share experiences. I enjoy swimming,beach,travelling,movies,football(Manu),helpin out whenever necessary and i love to be...
  3. W

    Display/kioo cha blackberry 9700

    Hello, ninashida na kioo cha simu husika, simu yangu ni mpya kimuonekano ila bahati mbaya imeangukia kioo, kama unacho pls tuongee,naomba ofa tafadhari. Nipo Dsm. 0688 65 8292
  4. W

    Any 1 awake!

    Hello, i am Colins, A male aged 29, Can,t sleep aisee, Any1 wana talk,sms or whatsAp?, I,m friendly,each to get along to,fun and gentle, Just hollar pls 0688 65 82 92. Thanks.
  5. W

    Nauza line ya tigo pesa

    Ndugu vipi bado ipo? Iam interested tafadhari
  6. W

    Treni Yagonga Gari Makusudi

    Ndugu unajua sheria angalau kidogo ya barabarani! Unavyosema treni imegonga gari makusudi unamaana ikiacha barabara yake na kuingia kwenye lami kulifuata gari ama! La hasha naamini lilikuwa ktk njia yake, basi ki ufupi hakuna gari inayoruhusiwa kusimama ktk njia ya treni,sheria inasema...
  7. W

    Naomba kujua kuhusu kufunga ndoa kanisani.

    Ndugu,Mungu alipotuumba ametupa binadamu Hekima,wanyama wengine wote hawana,ametupa ujuzi na maharifa,mbona umeuliza kuhusu kufunga ndoa kanisani lakini hujauliza kwanini Unatakiwa utangaze ndoa yako wiki 3? Utaratibu uliowekwa na wanadamu kwa ufunuo wa hekima ya Mungu na jambo ambalo linampa...
  8. W

    Pals

    Eeeezy! I hope wote ni wazima,naitwa Sean,nahitaji marafiki pls,mie napenda muziki,kuogelea,beach na mambo mengine mazuri. If u need a friend who can support u(with ideas haha)share experience and many others iam here,just a friend thats all. Pm me or 0688 658292. Cheers
  9. W

    Sina usingizi mpenzi wangu hapokei cm...

    Utapata stress ndugu,learn to trust and have confidence in you! Kitu kimoja nilijifunza ili kuwa na amani, always think positive basi utajikuta una amani. Usk mwema.
  10. W

    Friends

    Hello jf love connect, naitwa Sean 28 Male,Dar. Napenda Muziki,Kuogelea,Beach,Kusafiri&kuwa na furaha. Mmi ni graduate wa 2011 ila kwa sasa ninafanya kazi. Nahitaji marafiki wa jinsia yeyote. Kama utapenda tafadhari nitafute kwa kupiga simu au ujumbe wa maandishi kupitia 0688 65 82 92 .Asanteni
  11. W

    Mke wa mtu ananitaka

    Hata kama hujatoa details zako za umri nk, ni rahisi sana mtu kuotea umri wako kupitia tangazo hili!
  12. W

    Naomba ushauri.

    Nitakuwa tofauti kidogo na matazamio ila nahisi naweza saidia. Ndugu kuna mambo mengine tunaweka positive outcimes tunapoyafanya, mf unapoingia chuo unawaza kumaliza salama, hua hatuwazii sup,repeat au disco ingawa zipo, sasa ktk mambo ya mapenzi kuna kukubaliwa na kukataliwa yote lazima...
  13. W

    Wajumbe mkutano mkuu (CHADEMA) wacharuka - kitanzi chamngoja Mbowe

    Ndugu hebu think na open ur eyes wide, hata kama una mapenzi na chadema sio unafumbia macho tu kila kitu, hapa unatetea Mwenyekiti wa Chama aliyeowa kwenda dubai na mbunge wake kujivinjari! Uongozi ni maadili na ndio maana Nyerere alipenda kutoa mfanomwa waziri kule uingereza aliyejiuzuru baada...
  14. W

    Pal,rafiki

    Hello, Colins 28 Male frm Dar. Want a friend(any gender),kama utapenda pls nicheki kwa bbm pin 7A2A5513 au email wvevee@yahoo.com. asanteni
  15. W

    Late Sedekia kumbe alichukuliwa kimzimu

    Halafu bro, Mwakasege ni mwalimu, hapo vipi? Kibiblia na kidunia kuna tofauti kati ya wachungaji na walimu. Mwakasege nae mjua anatambukika na kujitambukisha kama Mwl.
Back
Top Bottom