Umofia kwenu..wana Jf..!
Natumai haujambo wote katika kipindi hiki ambacho Dunia yetu..IPO katika Mitihani huu Mkubwa wa Ugonjwa wa Corona...
Nilikuwa Nina Ombi kwenu kama kuna uwezokano wa kufundishwa COMPUTER knowledge kwa ujumla kipindi hiki ukiwa Nyumbani... Kama mnavyojua Shule zimefungwa...
Umofia kwenu..wana Jf..!
Natumai haujambo wote katika kipindi hiki ambacho Dunia yetu..IPO katika Mitihani huu Mkubwa wa Ugonjwa wa Corona.
Nilikuwa Nina Ombi kwenu kama kuna uwezokano wa kufundishwa COMPUTER knowledge kwa ujumla kipindi hiki ukiwa Nyumbani... Kama mnavyojua Shule zimefungwa...
Shukurani kwa Kwa Darasa lako..nzuri.Ndg..!!..lakini Mimi nashangaa...umeshawahi Kutoka madarasa Mengi Tu hapa..kuhusu freelancer ...Online job opportunities.. Kuhusu tourism industry... Lamina ninachoshangaa Mimi..!!!.mbona watu tunaku..PM lakini huna Ushirikiano wowote unautoa Zaidi ya kukaa...
Ndg...shukurani kwa. Mada yako hii nzuri ...sijui nikupate Wapi ili tuongee vizuri na Mimi unifundishe..kwani Mimi ni Jobless..lkn ninja idea na computer... Na nina PC yangu hapa home..Nisaidie Ndg...!
Inna Lilah Wainna Ilah...Rajiuun..!!!….ALLAH..!. Amrehehemu Shekh Nyundo...Amjalie pepo..Inshallah... (Ametoa mawaidha mbalimbali kwa JAMII kuhusu Imani ya kweli Ndani ya Uislam)
Muhammad kafa kama wengine , ni maiti kama.maiti wengine
Kwahiyo aswaliwe madhambi yake ,ila wengine ni Ujahili...
Inna Lilah Wainna Ilah...Rajiuun..!!!….ALLAH..!. Amrehehemu Shekh Nyundo...Amjalie pepo..Inshallah... (Ametoa mawaidha mbalimbali kwa JAMII kuhusu Imani ya kweli Ndani ya Uislam)
Muhammad kafa kama wengine , ni maiti kama.maiti wengine
Kwahiyo aswaliwe madhambi yake ,ila wengine ni Ujahili...
Mimi store keeper natafuta kazi ya store keeping pamoja issueing of goods..nina certificate ya TIA na NBMM...na pia ni fundi umeme wa majumbani na nina cheti cha Veta....Niko Dsm...Tuwasiliane kwa No...hii...0754096766
Dispatchers...Ina maanisha position gani..? ...ya kazi....haimaanishi watu store keeping...and suppliers assistance Au Material management....Tafadhali mwenye kufahamu anifahamishe...Kwani mimi hizo hapo juu ndio fani zangu na niko Jobless ...Msaada wana J.Forum..
Mimi Fundi umeme wa Nyumba mwenye uzoefu mkubwa..na nina certificate kutoka Veta..Pia nina Store keeping Certificate mbili moja kutoka NBMM na nyengine T.I.A...naomba kazi kutoka mtu yoyote mwenye Kampuni au Organisation yoyote ...Kwasasa nimejiajiri kama fundi umeme binafsi..ila kazi za...
Mimi ni fundi Umeme wa Nyumba mwenye Uzoefu Mkubwa...Natafuta kazi ya site..Wiring and Instillation...Sina kazi kwasasa kwani..Kazi zangu nilizo nazo za Site..zimesimama..!..Kwahiyo yoyote atakaye Atakayeniita nitapunguza LABOUR CHARGE yangu itakuwa nafuu...Na Nitamfanyia kazi nzuri kutokana na...
Bakwata =CCM....Ina maana hilo hamlijui...!!!...Kwanza hao wala hawatuwakilishi waislam wengi wa Tanzania....Hatuna la Kufanya Juu yao BAKWATA...HAWA NDIO WAMECHANGIA Kwa kiasi kikubwa...kudidimiza Waislam wa nchi hii...na kuonekana Malofa...hawana elimu...wala uchumi endelevu...Kulinganisha na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.