wirewizard1
Senior Member
- Jun 28, 2015
- 160
- 26
Umofia kwenu..wana Jf..!
Natumai haujambo wote katika kipindi hiki ambacho Dunia yetu..IPO katika Mitihani huu Mkubwa wa Ugonjwa wa Corona.
Nilikuwa Nina Ombi kwenu kama kuna uwezokano wa kufundishwa COMPUTER knowledge kwa ujumla kipindi hiki ukiwa Nyumbani... Kama mnavyojua Shule zimefungwa na hatujui kuwa vipi within next week kama zitafunguliwa au vipi..!!!..Kutokana na hali ya Corona.
Kwa bahati mbaya nimekuja kujua kuwa Computer application ni Muhimu sana kwa Dunia yetu hii ya Leo. Binafsi knowledge yangu ya Computer ni Ndogo. Natumia laptop yangu kutuma E-mails..na kupokea. Pia kutafuta any information ambayo nahitaji...ni hivyo Tu.
Kutokana na hii hali Ndugu zangu naomba Msaada kama itawezekana kujifunza mambo haya Online.. Issue zenyewe ni hizi.... Graphics design... Logo design.... Photoshop design....Business Card Design... Bronchure Design....and how to convert PDF file to word file and vice versa...
Hivyo natanguliza Ombi kwenu kama MTU anajua program hizi zinafundishwa online..ukisoma ukiwa Nyumbani..
Tafadhali anifahamishe nitumie Njia gani within internet kusoma course hizi...Nawasilisha Ombi langu kwenu wana JAMII forum ....KARIBUNI...!!