wirewizard1
Senior Member
- Jun 28, 2015
- 160
- 26
Mimi ni fundi Umeme wa Nyumba mwenye Uzoefu Mkubwa...Natafuta kazi ya site..Wiring and Instillation...Sina kazi kwasasa kwani..Kazi zangu nilizo nazo za Site..zimesimama..!..Kwahiyo yoyote atakaye Atakayeniita nitapunguza LABOUR CHARGE yangu itakuwa nafuu...Na Nitamfanyia kazi nzuri kutokana na Uzoefu wangu..Call me through this number...0754096766.