Recent content by winmulu

  1. W

    JamiiForums Tanzania Wazazi walipishwa michango shule za msingi jijini Dar es Salaam

    Jamani watu Kama watoa uzi msitafsiri elimu bure kwa namna isiyofaa. Wazazi watimize wajibu wao. Serikali ni pamoja na jamii.
  2. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Mnaotafuta wachumba JamiiForums

    Pole Sana. Usikate tamaa wala usijilaumu. Kwa kawaida masomo hayapimiki popote na Hakuna anayeulizia hayo. MTIHANI Ndiyo humpima mtu. My take Chukua muda zungumza naye na wala usiwahi huwaza kuondoka until you prove he can't change
  3. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tusitishane siachi kutafuta mwanaume mtandaoni

    Kweli wengi waongo pande zote Lakini Lakini wakweli pia tupo.
  4. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tusitishane siachi kutafuta mwanaume mtandaoni

    Kweli wengi waongo kwa pande zote Lakini wakweli pia tupoy
  5. W

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kielimu waungwana nimsaidie.

    Kuna kipindi Mungai akiwa waziri wa Elimu aliunganisha baadhi ya masomo. Baadaye Yale masomo ya chemistry na physics yakatenganishwa tena. Baada ya kutenganisha kylitoka Waraka naombeni mnisaidie Waraka ule ni namba ngapi na wa mwaka gani... Pili Najaribu kutafuta mtaala wa elimu ya sekondari...
  6. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kelele au ugomvi

  7. W

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu NOAH VOX

    Habarini jamani. kwanza nishukuru uwepo wa jukwaa hili. naombeni msaada juu ya ubora wa gari aina ya NOAH VOX. napenda kujua ukimiliki gari kama hili unapaswa kulileaje, ni nini unapaswa kufanyika ili idumu. na ni mambo gani yanauwa sana au kudhoofisha gari hizi. Asanteni naomba kuwasilisha
  8. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huu ni umri wa wanawake wanaoongoza kuwa na wanaume wengi

    there might be some truth in there! convinced to some extent!
  9. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasichana hamjitambui

    mtoa mada amenigusa jamani! sijui ni kwa nini wadada wengi hawapendi wanaume wapolewapole! cha ajabu hata kama wanajua jamaa amewazalisha wengine kadhaa na kuwaacha wanaingia tu! akiwaomba mwenye mapenzi mema na ya kudumu wanamutupa kule! hii kitu huwa pia najiuliza sana! I DON'T KNOW WHAT...
  10. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaidizi wa kufanana nawe

    hii nimeipenda ni kweli kabisa kila kila eva ana adamu wake na kama ni ubavu basi kila ubavu una saizi yake! ukikosea tu unaweza pwaya ama ukalegea na kutumbukia!maisha ya ndoa yana changamoto kubwa! na pengine kiza tulichowekewa na uvivu wa kuomba na kushindwa kuvumilia ni sababu ya kupata...
  11. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaidizi wa kufanana nawe

  12. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa yaliyonikuta sifikirii kupenda tena

    Alafu sijui neno " HAYA" ni msamiati tuu au bado kuna watu wanazo haya?? unakuja JF tena MMU! halafu unahitimisha wewe ni mwanafunzi!!! tena anakili ameanza kupenda akiwa o level! hii yote ni kwa sababu sasa hivi MWALIMU hajiuhusishi na malezi! eti kazi yake ni kufundisha tu! REALLY?? haya...
  13. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau hii ni kweli?

    wanawake huwa hawapendi! but they have something called Lust! they can accept whoever they manage to meet and whoever speaks about love! men do love women have lust!
  14. W

    JamiiForums Tanzania Kuumwa kichwa

    si kila kichwa kikiuma ni malaria sometimes ukosefu tu wa maji! unakuumiza kichwa! ongea na doctor mzuri atakayekushauri si lazima apime malaria!
Back
Top Bottom