Kweli kabisa tuwape haki yao
Kwani kuolewa ni lazima? Ndoa nazo majanga tu ni afadhali kujizalia tu kuliko kubanana na headache ya mwanaume ;-)
Hivi mnaona mwanamke kuzaa ni tatizo?ni mzigo? Wenye mawazo ya hivi sijui mnakuaga wagumba....
Kuna kuzaa baba mtoto akafariki, mnaweza kushindwana n.k n.kHujamwelewa huyo jamaa. Suala hapa si kuzaa, ila kuzaa watoto kadhaa kila mmoja akiwa na baba yake. Unafikiri unampa mawazo gani mwanamme kuwa na watoto 4 na kila mmoja ana baba yake?
Sory nitakaowaudhi ila wanawake wanaboa,
Utakuta wanawakataa watu wapole wema wanakuja wawaoe, wanaleta mapozi wanaringa. Wanashobokea vibitozi, wauza sura,au watu waongo wanaodanganya wanakuja kujijua mda umeenda washachezewa mwishowe wanazalishwa tu wa kuwaoa hawawaoni tena.
Mimi maswala ya kutongoza nimeiachia pochi yangu
Kuna kuzaa baba mtoto akafariki, mnaweza kushindwana n.k n.k
pia sidhani kama kuna mtu anapenda kuzaa na watu tofauti tofauti
Wanawake wanawataka hao mabitozi, hawawaoi na wale wapole wanaotaka kuwaoa wanawake hawawataki. Kwa hiyo wanaolewa na nani sasa?Sory nitakaowaudhi ila wanawake wanaboa,
Utakuta wanawakataa watu wapole wema wanakuja wawaoe, wanaleta mapozi wanaringa. Wanashobokea vibitozi, wauza sura,au watu waongo wanaodanganya wanakuja kujijua mda umeenda washachezewa mwishowe wanazalishwa tu wa kuwaoa hawawaoni tena.
Sory nitakaowaudhi ila wanawake wanaboa,
Utakuta wanawakataa watu wapole wema wanakuja wawaoe, wanaleta mapozi wanaringa. Wanashobokea vibitozi, wauza sura,au watu waongo wanaodanganya wanakuja kujijua mda umeenda washachezewa mwishowe wanazalishwa tu wa kuwaoa hawawaoni tena.
Umeshakuwa addicted. And it is only going to get worse...daaaah aiseee JF ni raha mwanzo mwenga mie hainipit nusu saa sijaperuz....