Recent content by WINIE

  1. W

    Unadhani Filiku-Njombe anastahili wadhifa gani?

    Abaki kuwa mwakilishi wa wananchi coz hata pinda tulimwamin na akajiita mtoto wa mkulima but anachofanya sahivi ni tofauti kabisa. Naona huo wadhifa alionao ndo mzuri sana kuliko hata uwaziri.
  2. W

    Zitto alipuka tena bungeni

    Wewe hujielewi na wala hutakaa uelimike maana hujui jinsi watanzania tunavyopata adha coz of this ministry, ukiambiwa utoe ushahidi wa jinsi zitto anatafuna hizo hela utaweza?acha kupayuka, au na wewe ni 'gamba' maana mnateteana sana, inawezekana wewe si Mtanzania.
  3. W

    HOJA ya Zitto yawasilishwa kwa spika

    Zitto pambana, sisi wenyenchi tunawakubali sana, tunataka usawa katika jamii, waziri mkuu ndo anauakiwa aondoke kwanza ndo wengine nao wapuputike.
  4. W

    Kuumizwa kwenye MAPENZI

    Wanawake wamezid'
  5. W

    Wanawake wananiogopa!!

    Punguza useriouse, ndo utakuponza' kuwa m2 wa kucheka nao mda mwing, itakusaidia.
  6. W

    Baada ya CCM kuzidi kukimbiwa, Nape atoa kauli hii

    Nape haelew na wala hajielew' kwake yeye kila mtu anayeona chama hakifai na kuamua kuondoka anamwona alikuwa 'MZIGO' au 'GAMBA' hataki kuheshimu mawazo yao, namhakikishia ipo siku atakubali wamekufa na siku zenyewe si nyingi.Hao watu mil6 anaosema amewasahau waliowapinga kule Igunga?ambapo...
  7. W

    Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Pinda?

    Watazipata tu hizo sahihi coz kila mbunge kachoka, labda wakina Olesendeka na wenzake.
  8. W

    Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Pinda?

    Zito kanena, wamwondoe huyo pinda maana ashakuwa mzigo kwa taifa hili, tulidhani ni mtetezi wa wanyonge kumbe ni wale wale.
  9. W

    Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Pinda?

    Sr tupe chanzo tuelewe,,,,,,,,,nani kasema?
  10. W

    Wakuu naomba niulize hivi JK ana mawazo gani na nchi hii?

    Unajua mkuu huyu Rais haelewi majukum yake kama mkuu wa nchi na hiyo itamgarim sana na chama chake, anajua ameshindwa ila hataki kukubali lakin asubirie amalize muda wake aondoke huko ikulu awapishe wengine wamuonyeshe nchi inavyotawaliwa.
Back
Top Bottom