Zitto alipuka tena bungeni

uyu Zito anapenda sana masifa,ata kama ndio mbio za urais...yani anajifanya anauchungu sana na nchi wakati ela za barrick anatafuna.

Acha mipasho wewe, hao wanaokutuma kama wanaushahidi wa Zitto kuzitavuna hela za Barick kwa nini nao wazipeleke hoja bungeni kumuumbua kama Zitto naye anavyowaumbua? Mwaka huu Zitto ataendelea kuwapasha magamba moto mpaka mnyonyoke wote.
 
Miongoni mwa maandiko magumu sana niliyowahi kusoma ni yale yanayosema

"Wapendeni Adui Zenu, Waombeeni Wanaowaudhi"

Jifunze kupenda hata unaowachukia akiwemo spika
Hizi zilikuwa ni techniques za wazungu wakati wanakuja kulitawala bara la Africa wakaona waweke mstari huo kwenye biblia ili msiwavurumishie mikuki na pinde wakoloni. Hawa jamaa walikuwa na akili sana, eti ukipigwa kulia geuza na kushoto. Ha ha ha haa. Kuna haja ya maandiko matakatifu kuandikwa upya kwa context yetu ya sasa. Walioandika wakati huo walijiangalia zaidi wao.
 
alichosema Zitto ni kuwa hizo taarifa zipo kwenye ripoti ya kamati yake ambayo waliiwakilisha kwa Speaker...cha ajabu ni pale tuZitto alipomkumbusha madam speaker kuwa huo ushahidi uko kwenye makabati yake lkn speaker akang'ang'ani iletwe tena

Hapa nilimsikia.
 
Mbona una weweseka mpaka watoa povu bure wakati alichoambiwa ni alete upya kwa maandishi. Na yeye zitto amekubali shida ipo wapi?

Duh kwa style hii,yaani kila siku huyo bibi anaomba apelekewe kwa maaandishi tu,naomba unipe mfano mmoja wa alichowahi kujibu kuhusu hayo maandishi...wapi ushahidi wa Lema....!? na ule wa Wenje..???
 
Wewe nikilaza benchot unafurahia raslimalizetu zikiliwa na wachache?hakika wewe ni mbaya kuliko ukoma na kuliko hao walaji

uyo zito misifa ana usafi gani??
Atueleze akikaa na Rostam huwa wanapanga nini,watanzania ni wepesi sana kuwaweza.
 
alichosema Zitto ni kuwa hizo taarifa zipo kwenye ripoti ya kamati yake ambayo waliiwakilisha kwa Speaker...cha ajabu ni pale tuZitto alipomkumbusha madam speaker kuwa huo ushahidi uko kwenye makabati yake lkn speaker akang'ang'ani iletwe tena
Walishachoka kusoma! kazi za vijana wanang'ang'ania hadi wahindwe kuona hata title za MOU. Madudu yote yako kwenye report za kamati ya bunge, hawayasomi! This is bull shit!
 
Wakuu heshima mbele sana,..

Kwa kifupi serikali imepoteza 9bilion kwenye zoezi hili, lakini waziri na naibu wamepindisha, sasa Zitto kawaumbua.

Speaker anaijua hii issue kwa kuwa taarifa ilishafikishwa kwake kwa maandishi, sasa leo anahamaki kuwa ni taarifa nzito sana inabidi ipelekwe kwa maandishi, only in tz.
 
Wewe hujielewi na wala hutakaa uelimike maana hujui jinsi watanzania tunavyopata adha coz of this ministry, ukiambiwa utoe ushahidi wa jinsi zitto anatafuna hizo hela utaweza?acha kupayuka, au na wewe ni 'gamba' maana mnateteana sana, inawezekana wewe si Mtanzania.
 
Yani huyu Speaker akiona Zitto/Lissu wamesimama basi yeye anakuwa na majibu ya kukataa tu....hili jambo ni kama limemtia aibu maana Zitto kamwuliza tulete tena(re-submit) nilitegemea speaker angeshtuka lakini kwa mshangao kasema taarifa iletwe tena...hapa nakubaliana na ww kuwa huyu mama hanaga muda wa kusoma hizo ripoti anazopewa

Sio kwamba mama hasomi report,anazisoma sana ila yupo kutetea CCM,msengzzzzzz sana huyu mama
 
uyu Zito anapenda sana masifa,ata kama ndio mbio za urais...yani anajifanya anauchungu sana na nchi wakati ela za barrick anatafuna.
Ela za Barrick Zitto anazitafuna???? kivipi? hii ni hoja mpya ni vyema uitolee ufafanuzi zaidi na ni vizuri ukaileta kama topic mpya tukaijadili.
 
Miongoni mwa maandiko magumu sana niliyowahi kusoma ni yale yanayosema

"Wapendeni Adui Zenu, Waombeeni Wanaowaudhi"

Jifunze kupenda hata unaowachukia akiwemo spika

Wao TUNAWAPENDA sana, ila tunachukizwa na MAOVU YAO. Hatukuwahi kuelekezwa popote pale kuupenda UOVU.
 
Back
Top Bottom