"Ni hatari mno kuukabidhi uongozi wa kitu nyeti kama nchi mikononi mwa mtu mwenye uchu, ujivuni na ubinafsi unaoweza kumfanya aamini yeye anapaswa kuwa juu ya kila kitu bila kujali misingi na taratibu tulizojiwekea. Kwani hili ni taifa linalopaswa kuongozwa kwa misingi ya DEMOKRASIA".
Kwa! Kwa...
Wazee, kwa mhitaji wa Itel T12 wiki mbili kiganjani na katika hali nzuri kabisa inauzwa kutokana na dharura. Dsm
Mwenye hitaji na ubora wa bei nafuu kulingana na urefu wa kamba ya mhusika anicheki inbox kwa ajili ya maelezo ya ziada na picha kama atahitaji. 90k haishuki hii labda kuongezeka...
Si huwa anasema usipoelewa anarudisha ada?
Na hautaelewa tena labda ukazaliwe tena huko Uingereza?
Sasa Mimi napataka hapo pa kuzaliwa Uingereza asee[emoji16][emoji16]
Una uwezo Wa kuandika haraka bila kukosea ilhali hili andiko tu lenyewe umekoseakosea sehemu nyingi tu. Nadhani uongeze paragraph nyingine kuwa...
"Nina uwezo Wa kuandika kwa kukoseakosea bila kujua kama nimekosea"
[emoji3][emoji3]
Kihuba Msikilize Mtaalamu Elli, maana yeye baada ya kuona uzi wako tu akaamua akafanye utafuti kwanza na hatumaye karudi na hiki. Nadhani hapaswi kupuuzwa
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.