Mambembe
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 2,217
- 2,971
- Thread starter
- #21
Yaani unadiriki kabisa kusema kuwa ulienda ukatumia muda na akili yako kusearch rubbish kama hii na bado ukaona inafaa kuwapostia hao unao waita 'wapendwa'??..rubbish kabisa
Sio kilaa somo linafundishwa kilaa mtu anaelewaaa incase unaonaa ni ujingaa unawezaa piaa ukapitaaa sio lazimaa utoe maoni ....