Inawezekana sana na wapo wanaume ambao wametulia na waume zao. Tatizo lako umechukua sampuli moja tu kwa mume wa rafiki yako na kuhitimisha kuwa wanaume wote wako hivyo. Lakini pia kuna andiuko kwenye Biblia linasema mwanmke atamlinda mwanaume.
You have said it all kiongozi.
Suala la Tanzania kugundua mafuta ni suala la muda tu maana mafuta ni dhahiri kuwa yapo. Ukiangalia Jiografia ya mahala Uganda na Kenya wamevumbua mafuta ni kwenye Bonde la Ufa la Magharibi kwa upande wa Uganda ambalo limepita Ziwa Rukwa na Ziwa Tanganyika hadi...
Mkuu, tujenzi kwa kutumia tofali za kuchoma labda mikoani , tena kwenye miji midogo, kwenye miji mikubwa ujenzi kwa kutumia matofali ya kuchoma ni gharama zaidi. BTW tofali za kuchoma Dar zinapatikana wapi?
Duh, wewe ndio Muislamu wa kwanza kukubali kuwa Majini ni Mashetwani, Waislamu wengi hawaamini hilo, hongera mama, hauko mbali sana na Ufalme wa Mungu.
Mzee Mohammed huwa anasisimkwa sana pindipo apatapo habari za siasa zinazogusa dini yake. Hii mihemko ya siasa-dini ndio itasababisha anguko la heshima yake humu JF na nchini mwote, Mzee ame-specialize kwenye utetezi na uzengezi wa kidini mno kiasi cha kuamini kila jambo linalohusu uonevu dhidi...
Lizaboni, hizo safari ndio ulikuwa wizi halali, faida ya hizo safari ambazo ni rekodi mpya Tanzania yaweza kuwa pungufu hatra ya 25%, yaani hizo safari zilikuwa kwa ajili ya maslahi yake binafsi tu.
Mkuu hebu tuwekee chanzo cha gharama za bomba la Gesi la Mtwara Dar kwanza ndipo tuwe fair kwenye kufanya comparison.
Nakumbuka kuna wakati Mbowe au Zitto aliwahi kusema gharama za ujenzio wa bomba la gesi zimezidishwa (inflated). Kama ni kweli gharama za Bomba la Mafuta ni chini ya gharama za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.