Tena sisi tuna nafuu, hebu compare umbali tu kwanza, mia nne tisine kwa mia moja, mara nne na kidogo! Lakini kuna mambo mengine kama milima, miamba, vijito n.k vimnazingatiwa.Najiuliza bomba la gas kutoka mtwara hadi kinyerezi lenye urefu wa km 490 lilitumia us$8b, lakini hili la uganda litatumia us$4b kutoka Hoima uganda hadi Tanga umbali wa 1410km. Naona kama sisi tulilizwa hivi hamna chenji iliyobaki kweli?
Najiuliza bomba la gas kutoka mtwara hadi kinyerezi lenye urefu wa km 490 lilitumia us$8b, lakini hili la uganda litatumia us$4b kutoka Hoima uganda hadi Tanga umbali wa 1410km. Naona kama sisi tulilizwa hivi hamna chenji iliyobaki kweli?