Msipende saana njia fupi kama mambo hayajakaa vizuri!! Mfn mm nilichukua diploma, nikapiga kazi kwa muda na sasa nachukua MD, fedha za mkopo na mshahara vyote vinanihusu.. Team no stress.
Hadithi inaonesha jamaa alishajikubali kabla hajaenda kupima..hospital alifuata taratibu tu zilizopo! Apunguze kujitapa!! Kupima na kujikubali ni jambo pana na sio kirahisi hivyo kam jamaa alivyotiririka kwenye story.
Nijuavyo mm, unashauriwa kula vidonge vya uzazi kwa siku kama 12 hiv ili kurekebisha siku kisha unaacha hivyo vidonge..Hila jamani haya madude sio mazuri kwa afya Tumia kondomu na kalenda, mweeh!!
Amitryptilline ni dawa nzuri unameza usiku tu kwa wiki kama mbili hivi ili urekebishe hiyo circadian rythism hila kama inshu ni stress!!! Vinginevyo ni kama ifuatavyo usile chakula kizito usiku, Fanya shughuli nyepesi mno usiku kama vile kusoma kitabu..usiangalie TV au movie unayoipenda usiku au...
Sometimes mapenz yanaendana na harufu.. Ukiizoea harufu Fulani inatoa mvuto ndio maana haifai tena.. Usijaribu pia kumfananisha mkeo na totoz zingine zenye mvuto, atakosa mvuto kwako..usipende kushinda home muda woote..ni rahisi kutofautiana Mara kwa Mara kisha inaleta visirani! Zaidi ya yote...
Hujaeleza vya kutosha.. Japo itaisha yenyewe..lakin vp kuhusu makuzi yake, ameanza kukaa chini lini? Kutembea lini? Kifupi anapata maendeleo yake kimakuzi kwa umri kama ilivyo kawaida au anachelewa sana? Ili uone kama kuna tatizo la ziada.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.