Wasifu(CV) wa Ndg. Hudson Kamoga

Wasifu(CV) wa Ndg. Hudson Kamoga

Wameteuliwa wengi leo vp hao wengine mnawafahamu au mnamsakama Kamoga tu? Ama kweli sisi watanzania hatujui tunachokitaka aisee kwanza mtu anaenda kuwa DED mbulu huku ww wa Dar au Dodoma au Arusha au morogoro inakuhusu nini na utendaji wake dah aliyeturoga ameshakufa aisee!!!!
 
Kuna mtu alisema kuwa watz tuna roho mbaya na wivu sana. Posts za humu nyingi zinathibitisha hilo.
 
Simfahamu sana jamaa Lakin kwa anavoongea katika kipindi change 360 nadhani alikuwa mtangazaji bora WA cloud's kwa misingi ya kuwa na uwezo wa kujadili mambo kiutaratibu zaidi

Hata hivyo nadhani hivi vyeo vinapaswa kupewa kwa way ambao Wana panda ngazi za kiutumishi na siio kwa utaratibu huu. HilI ni kwa wote waloteuliwa kwa utaratibu huu.
 
ukatae ukubali tayari huyu ni msimamizi mkuu wa uchaguzi wilaya ya mbulu
 
Watanzania tuna tatizo la ku underestimate watu based on their look or type of job!This guy is a talented leader..why don't we wait and evaluate him after he executes his duties and responsibilities?
Yaani kwenye mitandao teyari tumeshaqnza kumkatisha tamaa kabla hata hajaapishwa!
Pili kuwa na elimu kubwa si kigezo cha kuongoza au kuwa na weledi mpana katika usimamizi wa tasisi..Kuna wenye Phds lakini wamepewa uongozi wanaboronga!
Lets not judge this person,tumpe nafasi afanye kazi na rais baada ya muda tutaona..
Well said, watz majungu sana yaani, kuna mkurugenz namjua kasoma lakini hovyo, kapewa taasisi moja badala ya kuiendeleza kaiua kabisa, magu bado hajaiona naona, anafanya mambo ya hovyo kabisa,
 
ukatae ukubali tayari huyu ni msimamizi mkuu wa uchaguzi wilaya ya mbulu
Jifunze kuweka akiba ya maneno...BACK TO THE TOPIC,
Hii CV inahitaji msasa mana haiwezekana mtu akaanza primary 1989 akamaliza 1993
 
Ila watu bwana
Mwenzenu kalala maskini kaamka tajiri
Maisha hayana formula
Hongera zake
 
Jamaa shule ya msingi alipiga miaka mitano tu kisha akachaguliwa galanosi,,,,

Tanzania ya viwanda katika ubora wake
 
Iseee 1993-1989=04 inaonesha alisoma elimu ya mkoloni
 
Watanzania tuna tatizo la ku underestimate watu based on their look or type of job!This guy is a talented leader..why don't we wait and evaluate him after he executes his duties and responsibilities?
Yaani kwenye mitandao teyari tumeshaqnza kumkatisha tamaa kabla hata hajaapishwa!
Pili kuwa na elimu kubwa si kigezo cha kuongoza au kuwa na weledi mpana katika usimamizi wa tasisi..Kuna wenye Phds lakini wamepewa uongozi wanaboronga!
Lets not judge this person,tumpe nafasi afanye kazi na rais baada ya muda tutaona..
Na sasa una mfano mzuri kabisa wa mwenye phd na anaboronga
 
Watu sijui tunamatatizo gani aisee...... Jamaa kapewa nafasi hajaanza hata kazi watu wameanza kumdis badala ya kumpongeza Mh. Rais kwa kuanza kuamini vijana wenzetu..... Mungu akutangulie Hudson kamoga kwenye majukumu yako mapya
uDED sio cheo cha kupeana kishkaji shkaji tu...... Huyo hana uzoefu na shughuli za Halmashauri... Anaenda kusimamia kitu asichokijua...

Katika awamu hii,vigezo vya kupata vyeo vimebadilika mno.Mfumo hauko predictable:hakuna continuity wala succession plan.Wazee wetu wenye uwezo,waaminifu na waadilifu huko Halmashauri wanavunjwa ari ya kazi bila sababu za msingi.This contradicts Public Sector Reform Programme iliyoanza kutekelezwa mwaka 1998.Haieleweki,bado,kwa nini watawala wanaona ni sawa mtumishi Mwandamizi kuongozwa na kijana kutoka sekta binafsi.Labda ipo siku watatoa ufafanuzi wenye kueleweka!
 
Cheo cha Ukurugenzi si moja ya vyeo vya kupeana fadhila, sifa mojawapo ni mtu kuwa Mtumishi wa Umma

Nimeona watu wakisifia uteuzi wa Radio Presenter kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri, anyway, labda ni kwa sababu hatuna uelewa wa vitu hivi vinavyoenda

Hiki ni Cheo anachopewa Mtumishi wa Umma baada ya kutumikia Utumishi wa Umma kama promotion (kupanda Cheo) baada ya udhoefu wa muda mrefu

Mtatuwekea CV reeefu lakini lote useless, ukurugenzi si cheo cha kisiasa
 
Watanzania tuna tatizo la ku underestimate watu based on their look or type of job!This guy is a talented leader..why don't we wait and evaluate him after he executes his duties and responsibilities?
Yaani kwenye mitandao teyari tumeshaqnza kumkatisha tamaa kabla hata hajaapishwa!
Pili kuwa na elimu kubwa si kigezo cha kuongoza au kuwa na weledi mpana katika usimamizi wa tasisi..Kuna wenye Phds lakini wamepewa uongozi wanaboronga!
Lets not judge this person,tumpe nafasi afanye kazi na rais baada ya muda tutaona..
Weka kumbukumbu ili huko mbeleni turejee vizuri
 
Yeah umeongea vema san, Uongozi is not CV
Watanzania tuna tatizo la ku underestimate watu based on their look or type of job!This guy is a talented leader..why don't we wait and evaluate him after he executes his duties and responsibilities?
Yaani kwenye mitandao teyari tumeshaqnza kumkatisha tamaa kabla hata hajaapishwa!
Pili kuwa na elimu kubwa si kigezo cha kuongoza au kuwa na weledi mpana katika usimamizi wa tasisi..Kuna wenye Phds lakini wamepewa uongozi wanaboronga!
Lets not judge this person,tumpe nafasi afanye kazi na rais baada ya muda tutaona..
Binafsi nimewahi kufanya kazi kwa karibu na Halmashauri... asikuambie mtu; kazi ya Ukurugenzi sio kazi ya hovyo hovyo!! Kazi ya Ukurugenzi sio tu inahitaji elimu bali uzoefu pia! Technically, hata hiyo elimu haikutakiwa iwe just elimu bali elimu ya taaluma fulani na best fit for the position ni mtu mwenye taaluma ya uchumi!! Na ndio maana teuzi makini za Ukurugenzi mara kwa mara wanapewa wale ambao wanahudumu kama Planning Officers! Mkurugenzi ndio roho ya halmashauri... wafanyakazi wote wa halmashauri wapo chini yako! Unaweza kufanya masihara kwenye nafasi ya u-DC lakini sio ukurugenzi!!! Billions of T Shillings zinazotoka Hazina kwenda halmashaauri zote hizo zinakuwa chini yako... wewe ni Mandatory Signatory wa kila senti inayotoka halmashauri! I mean not to offend him but to be honest, Kamoga yule hata leo hii umuulize council signatory arrangement inakuwaje hawezi kufahamu!!!

DED sio nafasi ndogo! Unaweza kutoa nafasi ya u-DC kwa kuangalia urafiki, ukada n.k lakini sio nafasi ya DED!!
 
Mhhhh mbona CV ya kuunga unga yaani ameanza primary 1983 akamaliza 1993...lol
 
Back
Top Bottom