Msaada jamani anayejua dawa ya mtoto kutoka udenda

tagamwa

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
342
235
Kuna mtu wa kike wa rafiki yangu ana miaka mitatu yapo na tatizo la kutokwa na udenda mdomoni,
Naombeni tumshauri tiba yake
 
Hujaeleza vya kutosha.. Japo itaisha yenyewe..lakin vp kuhusu makuzi yake, ameanza kukaa chini lini? Kutembea lini? Kifupi anapata maendeleo yake kimakuzi kwa umri kama ilivyo kawaida au anachelewa sana? Ili uone kama kuna tatizo la ziada.
 
Ninachojua mimi kuna chukua kipande cha ngulu yule samaki mwenye chumvi nyingi kipande kile kipitishe kwenye mdomo i mean kwenye udenda halafu mpe mjomba ake ale basi udenda utakua umekatika N.B lazima awe mjomba wake asipojua nu vizuri
 
unajua kuna siku sister nilienda kwake akanilazimisha sana nile ugari ingawa nilikuwa nimeshiba akaniwekea na nguru sasa dah inawezekana huyo nguru alifanyiwa manuva hayo mana uncle alikuwa na problemz km hiyo

ila hiyo dawa imenifurahisha sanaa
 
Ninachojua mimi kuna chukua kipande cha ngulu yule samaki mwenye chumvi nyingi kipande kile kipitishe kwenye mdomo i mean kwenye udenda halafu mpe mjomba ake ale basi udenda utakua umekatika N.B lazima awe mjomba wake asipojua nu vizuri
Haha hiyo hata kwenye bakuli ya mboga atakayotumia mjomba kuchovya ugali ila mjomba asijue.
 
mjomba yake atafutwe alambe udenda wake atapona, mm mtoto wa dada yangu alikuwa na tatizo hilo nikalamba udenda wake ukakata kabisa, na hata mm mwenyewe nilikuwa na ugonjwa huo udogoni ila mjomba yangu alivyolamba udenda wangu na mimi nikapona
 
Inataka moyo aisei ..!
 
Kuna mtu wa kike wa rafiki yangu ana miaka mitatu yapo na tatizo la kutokwa na udenda mdomoni,
Naombeni tumshauri tiba yake
Chukua majani ya koma manga, pilipili hoho, nyanya chungu, mchongoma, mwarobaini, pilipili kichaa, ndimu na mizizi ya mti wa ukwaju changanya
Tumia bakuli la mboga anywe kutwa mara 3 kwa wiki 1 udenda kwisha habari yake
 
Back
Top Bottom