wilson upunda
Member
- Aug 7, 2014
- 51
- 14
Msipende saana njia fupi kama mambo hayajakaa vizuri!! Mfn mm nilichukua diploma, nikapiga kazi kwa muda na sasa nachukua MD, fedha za mkopo na mshahara vyote vinanihusu.. Team no stress.
mm naona kuwe na matabaka wa vyeti vya o level na advance ku apply diplo, utakuta mtu katusua advance D,E,E, tena PCB alafu unakuja kumueka group moja na form four. huu ni ukudaaaa kudadadekiiii
kaka apo umenena , kumbe ndio ivyo, ahxante kwa kutufahamishaTatizo Lenu Nyie Madogo Hamupendi Kuuliza Mukajifunza Bali Munajihisi Wajanja Kukariri Mambo Ya Vijiweni!
Nani Aliyekwambia F4 anaekwa Level moja na F6?
Jambo Hilo Katu Haliwezi Kutokea Katika Sayari hii hasa utawala Huu wa Magu.
Sasa Nikwbie Mimi Pia Ni Mdau Wa Diploma niliyeomba Chuo!
Na Unapojaza Taarifa Zako Katika Mfumo Wa CAS, basi System inakuuliza Je Umemaliza F6? Ukijibu YES basi system inakwambia Uandike Index No yako ya Advance.
Na ukiiandika Tu Matokeo Yako Ya Advance Yanakuja.
Sasa Ukweli Ni Kwamba Hata Kama Nyote Ni DIPLOMA lakini Kama Una GPA ya 3.5 na Pass Mbili Za DDE (PCB) za F6 basi Kwenye Ushindani Wa Kuingia Chuo Utambwaga Aliyeishia F4 na GPA ya 4.5
Hebu ona Hapa Chini System Ya CAS inavyochukua Matokeo Ya F6.
↓↓↓↓↓↓↓↓
View attachment 396176
ahaa ko nijipange ki namna sio.utapata mkuu fanya maandalizi tu ukikosa kcmc utaenda bugando ukikosa bugando
Poa mkuu japo kunae watu wanasema nitaweza kukosa kutokana na ushindani. Lakin nina imani nitapata tuuMkuu CCD ni sawa na B+B+ B- za BRN
Lazima upate.
moyo bhana unaimani kweli, mm na D mbili cikuwacha apply ualimu...... sasa kama uliweka five choises zote md, upo wap ready nijiandae kukufuata na ambulancePoa mkuu japo kunae watu wanasema nitaweza kukosa kutokana na ushindani. Lakin nina imani nitapata tuu
Mkuu EEE hata kwa matokeo ya 2016 hana sifa huyu huyo nduguyo kapitia wapMbona mkuu kuna jamaa alikuwa na EEE 2016 lkn imemkubali
hawa wote vyuo watapata bt itategemea vyuo gan wameomba the fact wana point 4 woteDDF na DDE ipi yenye uzito? japokuwa zote zna D. mm naona DDF ndio bora kama general study umetusuaaa fresh[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nani alikuambia ualimu ni kwa ajili ya wenye ufaulu wa chini?We ****** hizo marks hazikupeleki kokote labda ualimu
iyo kweli point, sasa mkuu kama hawa wa BRN wanaruhusiwa wa apply degree sasa ivi kwa minimum C mbili na iyo C ni sawasawa na E 2016, sasa mbona tcu wanagoma E za 2016??????