Recent content by willman

  1. willman

    Daktari feki anaswa Mbeya akitibu watu zaidi ya 100,anafanya upasuaji

    Shida ipo tunaamini katika vyeti kuliko experience ...! Walioaswa wamchukue then wamfanyie assessment nakama yuko competent wampatie leseni...lakini chakushangaza wanaweza wamfungulie kesi na kumfunga kabisa
  2. willman

    Wale wa BITCOIN wameshatapeliwa

    Huyo alieleta mada naweza nikampuuza kwakuwa nina uhakika hajui ni nini anacho kiongea, ila nasikitishwa mchangiaji mjuaji ambaye hajui hata nini anachokiongea..! Nibusara kujifunza baada ya hapo utajua pumba au uzito wa kitu unachokiongea..! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. willman

    Mambo ya msingi kujua kabla hujaingia kwenye forex trading

    Watu huwa wanasahau sana kusoma market psychology Sent using Jamii Forums mobile app
  4. willman

    Natafuta mnunuzi wa Sungura

    Kuna hawa jamaa wa TBCC huwa wana nunua kilo ya sungura kwa bei ya elfu nane ..! Na mara nyingini sungura mkubwa mwenye ujazo mzuri huwa anakuwa na kati ya 3.5kg mpaka 5kg ...kwahiyo sungura mkubwa kuuzwa kuanzia elfu 20 mpaka elfu 40 sio jambo la ajabu..! Ni swala la information tuu ndio...
  5. willman

    Taxi drivers wa Tanzania pamoja na ICT professionals wanashindwaje kuunda system kama ya "UBER"?

    kwamfano sehemu kama china wameweza kidhibiti uber wao wanatumia sana kampuni yao ya didi .!! lakini pia hilo lomechangiwa na uzalendo walio nao .!! wa kutumia chanyumbani kwanza.!! tumia cha nje endapo tuu cha nyumbani hakipo
  6. willman

    Taxi drivers wa Tanzania pamoja na ICT professionals wanashindwaje kuunda system kama ya "UBER"?

    mifano iko mingini tuu tusikate tamaa .!! hata facebook haikuwa ya kwanza .!! kuna wengi waliomtangulia sema tuu ni ubunifu tofauti kwenye biashara moja .!!
  7. willman

    Taxi drivers wa Tanzania pamoja na ICT professionals wanashindwaje kuunda system kama ya "UBER"?

    yaani nikweli kabisa hapa tatizo linabakiniwenye business model.!! kampunzi kama ya uber support ya kutosha toka kampuni ya amazon sasa unategemea kushindana nayo in the same model of business .? the only way yakushindana nayo nikuwa na creative ideas ..!!
  8. willman

    WhatsApp kuja na maboresho manne zaidi, je itaifunika telegram?

    alicho kiongea Graph nikweli kabisa yaani china ndo huwaambii kitu .!! maana kwa mfano uber kwao wameweza kuidhibiti kabisa wao wanatumia yakwao inaitwa didi mzee kwa ajili ya usafiri.!! tatizo wachina wamekuzwa katika mzingira ya uzalendo wa kutumia cha nyumbani kwanza the cha kigeni ndo...
  9. willman

    Machinga wapinga agizo la RC Dar kuzuia uuzwaji wa Filamu za nje ya nchi, Waandamana

    haya maswala ya usiasa sana ..!! ndo maana wanajikombakomba sana kwenye mikutano ya kisiasa
  10. willman

    Machinga wapinga agizo la RC Dar kuzuia uuzwaji wa Filamu za nje ya nchi, Waandamana

    shati unalovyaa cadet una vya ..!!rubber unayo vya ikitokea china kama grade ya pili na pia kama ikiwa na brand flani kama Lacoste,polo,puma,nike .!! ujue kuwa hiyo nayo ni piracy..!! sasa kwa nini iwe cd tuu za nje..??
  11. willman

    Series (Special thread)

    na mwaka huu prison break inaendelea nadhani kuanzia mwezi wa nne
  12. willman

    Series (Special thread)

    prison break
  13. willman

    Anza na kuku mmoja, upate kuku 248 kwa mwaka

    ukitaka elimu ya kuku tafuta mtu anayefuga kuku ina large scale halafu atakuambia changamoto zake lakini kwa haya maswala ya vitabu vya research za marekani kuuzwa bongo utalia na utachukia ufugaji wa kuku
  14. willman

    Binadam katokana na Sokwe

    hao masokwe ambao bado wapo..!!walikataa kubadilika au..??
Back
Top Bottom