Natafuta mnunuzi wa Sungura

Natafuta mnunuzi wa Sungura

Hana tofauti na yule aliyefugishwa mojoka na muwekezaji akimuahidi soko huko ughaibuni, sasa mijoka imekuwa soko hakuna muwekezaji katoweka kusiko julikana na mijoka inataka kummeza mfugaji.[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Sungura kiukweli wana soko sana lkn si kwa bei hiyo ya 20,000. Ninawafuga na kuwauza sana hawa viumbe kwa 8000 - 10000 kwa sungura. Hata wakiwa 300 kwa 10,000 ndan ya siku moja nshawauza na kuwamaliza
 
Sungura kiukweli wana soko sana lkn si kwa bei hiyo ya 20,000. Ninawafuga na kuwauza sana hawa viumbe kwa 8000 - 10000 kwa sungura. Hata wakiwa 300 kwa 10,000 ndan ya siku moja nshawauza na kuwamaliza
Huku nilipo 5000, unabeba sungura. Hiyo bei ni ya kwenye vitabu, kuna ujinga flani hv vijana huwa wanapandikizana na kujidanganya utaskia "nikiuza mpigo mmoja tu nishanunua kiwanja na msingi naanza kujenga". So lazima aje kichwa kichwa na bei hizo.
 
Nilisikia sungura wana masoko kedekede... Ukifunga utajiri nje nje.. Sasa nashangaa kuona jamaa anahangaika kupata soko.. Au ndo kilimo cha whatsapp
Anashauriwa apunguze bei atafutiwe soko....ni kweli sungura ana soko sana kuna jamaa anauza nyama yake kilo 8000. Sungura akilishwa vizur anafika 2kg hivyo jamaa anachukua kwa 8000 - 10000 ili nae apate faida maana hapo kuna cost nyingi mpaka auze hiyo nyama.
 
Sungura [emoji15] [emoji4] Fuga [emoji117]
IMG_20180831_135736_240.jpg
IMG_20180831_135641_309.jpg
IMG_20180831_135549_996.jpg
kama kwa mwaka hujatoboa na kututafuta ili unizawadie bapa.
178606_e3b50923bf2ccd9973fb1683c702a61b.jpg
soko nje nje [emoji38]
 
Duu Mbona sinza Africa sana pale sokoni wanauza sungura 1 kwa 120,000
 
Kuna hawa jamaa wa TBCC huwa wana nunua kilo ya sungura kwa bei ya elfu nane ..! Na mara nyingini sungura mkubwa mwenye ujazo mzuri huwa anakuwa na kati ya 3.5kg mpaka 5kg ...kwahiyo sungura mkubwa kuuzwa kuanzia elfu 20 mpaka elfu 40 sio jambo la ajabu..! Ni swala la information tuu ndio tunayokosa na ujuaji mwingi..! Nimeshanga sana jamaa jamaa kaomba msaada lakini kuna watu wameanza kumkebehi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom