Recent content by William wa Ukweli

  1. W

    Ufafanuzi wa Mch. Gwajima Kuhusu Mkenya wa Dr. Ulimboka

    Maafisa wote wa Polisi wenye cheo cha kamishna nawaomba muitishe kikao cha dharura, aitwe ACP Msangi mbele yenu atoe maelezo yake. Pia aitwe kamanda Kova atoe maelezo yake kuhusiana na huyo 'kichaa' kutoka kenya. Baada ya hapo mtoe taarifa kwa umma kupitia msemaji wa jeshi la polisi ili...
  2. W

    Naibu Spika Job Ndugai amtoa nje Mbunge wa CCM kwa siku tatu

    Cv yake safi, angepewa wizara ya afya!
  3. W

    Uingereza haikumtendea haki Rais Kikwete

    If God wishes, I'll be honored to succeed JK in 2015, and will do all that's expected of a noble and diligent head of state, to change the history of our nation. God bless Tanzanians, God bless Africans!!
  4. W

    Uingereza haikumtendea haki Rais Kikwete

    mweee......??!! add: ' ....he is always attending each and every meeting abroad, leaving his government hospitals full shiit ..oops!....full of patients who in most cases 4 of them share one bed, but without medicine and equipments, and to top it all, no doctors coz they're currently on strike...
  5. W

    Pinda: Zanzibar sio NCHI... Werema: Zanzibar ni NCHI (Serikali yao ni MOJA, RAIS wao ni MMOJA)

    Nilipokuwa primary school, tanzania ilikuwa na mikoa 25 (bara 20, znz 5) na nchi ilikuwa moja tu, tanzania. Leo nchi zimekuwa 2, ila nchi moja znz, iko ndani ya nchi nyingine, tz. Znz ni semi-autonomous state, kwa maana kwamba sio sovereign state. Hata hivyo wazanzibari wakipenda na kufanya...
  6. W

    Bungeni Live: Juni 3, 2012 [Morning Session]

    Kwa jinsi hali inavyozidi kuwa tete mahospitalini kutokana na serikali kucheza vibaya kete yake, hadi kufikia Ijumaa baadhi ya wabunge wa CCM wataibua hoja ya Bunge kuingilia kati suala hilo na kujadili ripoti ya Kamati ya Bunge ya Afya. Wameamua kuchukua uamuzi mgumu kwa maslahi ya walalahoi...
  7. W

    Baraza la wawakilishi Zanzibar latetea matumizi ya bendera ya taifa kwa meli za Iran

    Kwa zenji wao ndugu zao ni iran (muslims) na sio usa/ulaya. Tusiwaingilie kwenye maamuzi yao magumu!!??
  8. W

    Baraza la wawakilishi Zanzibar latetea matumizi ya bendera ya taifa kwa meli za Iran

    Ship Registrar, Admnistrator/Govt.Representative - Mr. Abdulla Mohammed Abdalla, popote alipo akamatwe na ahojiwe kwa nini alitoa kibali cha kusajili (re-flag) meli za mafuta za Iran na kuruhusu zipeperushe bendera ya taifa letu??!!?? Hivi huyuuu.... sio waziri wa nchi jirani ya zanzibar...
  9. W

    Baraza la wawakilishi Zanzibar latetea matumizi ya bendera ya taifa kwa meli za Iran

    Ship Registrar, Admnistrator/Govt.Representative - Mr. Abdulla Mohammed Abdalla, popote alipo akamatwe na ahojiwe kwa nini alitoa kibali cha kusajili (re-flag) meli za mafuta za Iran na kuruhusu zipeperushe bendera ya taifa letu??!!?? Hivi huyuuu.... sio waziri wa nchi jirani ya zanzibar...
  10. W

    Mahakama ya Kadhi "Ruksa" - Pinda

    Pinda muislam??? By the way uki-google 'mahakama ya kadhi' unapata fulu data, hapo nchi jirani ya zanzibar wanaye kadhi mkuu, fuatilia mshahara wake analipwa na nani, na kwa nini serikali ya tanganyika inatia ngumu!!!
  11. W

    Dr. Ulimboka apelekwa nje kwa matibabu zaidi...

    Peace be upon his entire journey, and may the guarding angels surround him, amen!!
  12. W

    Mbinu chafu za serikali kuficha ukweli juu ya Dr. Ulimboka

    'hakika' na wewe ni mmoja wao, au uko karibu sana na msangi! na kama stori yako ni ya kweli, basi itabidi serikali 'sikivu' ya CCM ijipange upya. connecting dots; inawezekana msangi naye amepewa 'ultimatum' na wakubwa wake, kama asipofanikiwa kummalizia dr ulimboka basi kichwa chake halali...
  13. W

    Dkt. Ulimboka amuumbua mmoja wa wahusika wa utekaji wake!

    niliwahi kumuona kwenye tv bwana msangi kipindi kile bado akiwa o/c-cid pale o'bay, yuko makini sana katika kazi zake za upelelezi. Kama kweli kahusika kwa hili, atakuwa alipewa amri toka ngazi za juu, na kwa utaratibu wa kazi zao hawezi kumtaja aliyetoa order hiyo hadharani, labda IGP...
Back
Top Bottom