Iran kuleta madaktari 1,000 Tanzania

Huu ndio urafiki wa kweli...! wachina watafuatia.. wa cuba ...! .. safi sana! msaada sio lazima pesa
 
kuna watu wajinga jinga wajinga tu hata ukimwambia wewe mjinga basi anacheka tu...sasa iran na waraab wapi na wapi
ujinga tu
inajulikana wazi chadema sasa ni chama cha wachaga na wakristo kutoka na post za humu ndani na zina voshabikiwa
sasa azma yenu ya kuingia ikulu sujui itafikiwa vipi kama mna chuki na kila chenye chembe ya uislam ?
naona hio itakua ndoto issiyo wezekana hata kwa miaka mia moja.
basi tuwaombe vatican waje na madaktari wao waje kusaidia kuokoa maisha ya watanzania..hofu yangu hao kutoka vatican kwa kulawiti ndio wameshika nafasi ya mwanzo na kwa utamu wengine wamehalalisha ushoga....utamu wa kuharibu na kuwalawiti vijana wa kiume..haya

wacheni chuki za dini na kejeli mna kazi kubwa ya kufikia lengo lenu

Mkuu mbona mkali hivo. Kuwa makini mkuu kwa sababu unachokipinga ni hicho hicho unakionyesha (Udini). Jua tu kwamba unapojibu hoja yoyote kwa hasira mara nyingi utatumia hisia bila akili. Ukitumia tu hisia unakuwa tu sawa na nguruwe kwa sababu Allah amewaumba na hisia tu bila akili. Jibu hoja bila kuonyesha mihasira. Afterall haisaidii
 
Mkuu mbona mkali hivo. Kuwa makini mkuu kwa sababu unachokipinga ni hicho hicho unakionyesha (Udini). Jua tu kwamba unapojibu hoja yoyote kwa hasira mara nyingi utatumia hisia bila akili. Ukitumia tu hisia unakuwa tu sawa na nguruwe kwa sababu Allah amewaumba na hisia tu bila akili. Jibu hoja bila kuonyesha mihasira. Afterall haisaidii

mbona na wewe umeandika yale yae hujamjibu jamaa kiustaarabu ????

tuleteeni hao madaktari kutoka vatican kama mnaona hawa wairani hawafai
 
Some times hukaa nikaangalia maoni humu na kuangalia mawazo na akili za watu humu lakini nnachokiona ni ujinga mwingi na watu kujifanya kujua sana au kujiona kuwa na uchungu zaidi.Wengine wanaongea kiubaguzi zaidi na kudharau wengine.Ulalahoi wetu unatufanya kuropoka maneno mengine hayako katika ustaarabu.Nauhakika mtu mwenye elimu nzuri huwezi kuona anakoment maneno ya ajabu.Na ukitaka kujua mtu asie na elimu ni rahisi sana kwasababu hata historia au geographia haijui ila kwa kuja na confidence zaidi za mitaani.

By the way Iran au wairan sio waarabu na lugha yao tofauti na wala haifanani na kiarabu.Na kama ni kweli kwa sababu sisi walala hoi tunapenda kuzusha maneno,basi waje na vifaa ili wasaidie kuboresha hospitali zetu zilivo overcrowded na vingine vingi labda inaweza ikawa ni moja ya utatuzi wamambo ya afya.Lakini serikali tunaiomba tena tafadhali wamalize masuala haya na madocta wetu kwa haraka na wawarudishe kazini waje wasaidiane na hao wageni kuja kuboresha zaidi ili wananchi wafaidike.Kwani madocta wa Iran ni mahodari sana hata USA wapo wengi wanawatumia.Ni kutokujua tu au ushabiki zaidi kwasababu tumezoea kuona wazungu tu ndio wanasaidia Africa, maisha yanabadilika ndugu zangu kwani hata huko ulaya mbona wanao foreigners wengi wanaofanya kazi mahospitalini kwani mnadhani hawana akili?Wairan ni watu waliosoma sana na isitoshe wanafanya resarch za madawa hasa za Cancer ili ije isaidie dunia na kutokomeza magonjwa haya.Na kama kweli wanaharibu wanaume mbona makanisa ndio yanajulikana ulimwenguni kwa uchafu huu?Acheni mazungumzo baada ya habari.

Mkuu unachosema ni kweli, daktari ni daktari awe Mwarabu, mwajemi, kafir, au mwislamu ni dakari tu. Issue hapa ni kwanini Iran katika wakati kama huu ambao Iran inawekewa vikwazo? na wakati mbao nchi yetu inaanza kutiliwa shaka kutokana na bendera yetu kupepea kwenye meli ya Iran, na matatizo yote ya sasa inayokabiliwa nayo Iran ina uwezo gani na upendo gani wa kutupa madaktari 1000? hapa ni lazima kuna ajeda, ambayo baadaye itakuja kutu-cost.

Issue ni kwamba mamluki hawezi kushinda vita, serikali inatakiwa kushughulikia tatizo la madaktari vizuri. Huwezi kuleta madaktari kutoka Iran halafu huna vifaa, huna dawa na huna hata nyumba za kuwaweka wala chakula cha kuwalisha. This is idiocy.
 
Kuna tetesi kuwa nchi ya Iran imejitolea kuleta madaktari 1000 kukabiliana na mgomo wa daktari nchini. Madaktari hao hawatalipwa posho wala mishahara mpaka madaktari wa tz watakapositisha mgomo. Kama kuna mtu ana habari zaidi atujuze
Kama ni kweli basi viongozi wa nchi hii watakuwa wanamatope kichwani mwao
 
Tunakoelekea wanataka kuindesha hii nchi kiislam, hii ndio mbinu ya jk.

Kuja wairan na uislam kunauhusiano wowote mkuu. Acheni chuki bana. Kama kuna sababu nyingine ya kuwakataa Wairan weka hapa ila kama ni dini tafadhali sio hoja ya msingi unless kama wanakuja kulazimisha watu kuwa waislam. Tuwe wastaarabu bana. Afterall uislam na ukristo vyote tumeletewa. Kwa nini vitugombanishe?
 
wataongea lugha gani? watatumia vifaa gani? wana uzoefu na magonjwa ya africa especially tanzania? Sedekia alikufa kwa sababu israel hawakutibu malaria tu kwa sababu kwao sio big deal
 
Mapadri wanaingiaje hapa. Au kinyume cha ufirauni ni upadri. Kweli Jf kuna mgomo wa kufikiri.

ni kweli kabisa JF kuna mgomo wa kufikiri labda tupate msaada wa wairani humu au sio mkuu ???? Hivi hukuisoma ile post ya jamaa alivyoandika ??? dakatari na ulawiti wapi na wapi???
 
Kuna tetesi kuwa nchi ya Iran imejitolea kuleta madaktari 1000 kukabiliana na mgomo wa daktari nchini. Madaktari hao hawatalipwa posho wala mishahara mpaka madaktari wa tz watakapositisha mgomo. Kama kuna mtu ana habari zaidi atujuze
Ni wanafunzi wa udaktari na majasusi..wanakuja for 'excursion and espionage'. Hamna kitu hapo, ule wenu mkubali wawatibu. Mmekwisha.
 
Bora waje kwa mudahawa wetu wa kiTZ hawana wito wala moral obligations tena. Ni bora hospitali 'zisafishwe' tuanze afresh. Wayahudi, Wacuba, waSA, & wachina nao wataletwe kwa muda. Wasaidizi wanaweza kuwa 'crash-trained' kwa wiki moja tu (.. imewezekana kwa wasaidizi wa sensa).

:rant:

Hapo kwenye red dogo umejichanganya. Kama madaktari wetu hawana wito, wataupata lini? Hao wako waje jumla, sio kwa muda. We si mzalendo, unauza nchi yako!
 
mbona na wewe umeandika yale yae hujamjibu jamaa kiustaarabu ????

tuleteeni hao madaktari kutoka vatican kama mnaona hawa wairani hawafai

Kuna uhusiano gani kati ya vatican na iran kwenye hii hoja? Wote mnaojadili hii hoja kwa misingi ya dini mmegoma kufikiri. Toeni hoja ni kwa nini Wairan au ni kwa nini sio wairan. Udini hautujengi mr dominick. Na kwa mstaarabu yeyote hawezi kuufumbia macho
 
hatuwataki, na kama ni kweli basi tanzania si nchi huru tena, na inakwenda kutumbukia kwenye vita ya jihadi.
 
ni kweli kabisa JF kuna mgomo wa kufikiri labda tupate msaada wa wairani humu au sio mkuu ???? Hivi hukuisoma ile post ya jamaa alivyoandika ??? dakatari na ulawiti wapi na wapi???

Hao wote wanaotoa sababu za kibaguzi ni ovyo. Kimsingi havitujengi.
 
adolay

These are the issues here Mkuu. At this moment the name Iran is some kind of "hot cake", any involvement with Iran will bring us to trouble, we are in trouble already we do not need more trouble, the west will now be looking at us as traitors or they will say that we are joining the axis of evil. I do not know what is the interest, long term, in this. I guess then reason is more theological than humanitarian or economic.
 
Last edited by a moderator:
mafirauni hao hawachelewi kuwwalawiti wagonjwa.. Siwaamini kabisa waarabu sio watu wazuri hata kidogo..

Mkuu wakati mwingine kukaa kimya ni bora zaidi angalia unavyomwaga pumba kwanza ufahamu wako ni mdogo na akili ya ina ukubwa wa 1GB nani kakuambia Wairan ni Waarabu umeipata wapi? Iran ni nchi iliyopiga hatua kwa kila kitu.
 
Ni wanafunzi wa udaktari na majasusi..wanakuja for 'excursion and espionage'. Hamna kitu hapo, ule wenu mkubali wawatibu. Mmekwisha.

Any fool can say what you are saying. If you cant substantiate your claims they will remain empty words
 
Back
Top Bottom