Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mradi wa ujenzi Mji mpya wa Kigamboni wayeyuka, Wananchi uksa kujenga!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Yericko Nyerere, Jun 29, 2012.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Jun 29, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 15,270
  Likes Received: 1,543
  Trophy Points: 280
  Faustine ndungulile fb

  "Kwa kauli ya Waziri Mkuu ni kwamba wananchi wa Kigamboni ni ruksa kujenga. Notisi ya kusitisha kuendeleza maeneo iliisha Novemba 2011"
   
 2. KASHOROBANA

  KASHOROBANA JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 3,164
  Likes Received: 332
  Trophy Points: 180
  Hii ilikuwa dhahiri, mji uo tarajiwa niliuona kweli ilikuwa ni ndoto za mchana, kitu kama new york kuuleta apa bongo ilojaa usanii kweli ilikuwa ndoto za mchana
  hureeeeee ngoja tukarabati vibanda vyetu kwa kasi maana madhalimu walitupiga mkwara na kwa udhaifu tukaitika,
  ama kweli rip ccm in 2015
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,800
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  hahahaaaa kweli serikali dhaifu sana
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Jun 29, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 66,531
  Likes Received: 19,046
  Trophy Points: 280
  Hahahahaaa hata mimi nilijua ilikuwa njozi tu.
   
 5. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #5
  Jun 29, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 15,270
  Likes Received: 1,543
  Trophy Points: 280
  Mungu mkubwa tumeteseka sana!

  Ingawa nawasihi wanakigamboni wenzangu kuwa makini,

  Kesho Pinda atakana kauli yake wana Kigs tutakosa cha kumfanya

  Hapa akili kichwani mwetu!
   
 6. W

  William wa Ukweli Member

  #6
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  what about Kigamboni bridge?!!
   
 7. asigwa

  asigwa JF-Expert Member

  #7
  Jun 29, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,022
  Likes Received: 7,481
  Trophy Points: 280
  chezea mipango hewa ya ****** wewe........
   
 8. asigwa

  asigwa JF-Expert Member

  #8
  Jun 29, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,022
  Likes Received: 7,481
  Trophy Points: 280
  chezea mipango hewa ya BABA Ridhiwan
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Jun 29, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 66,531
  Likes Received: 19,046
  Trophy Points: 280
  They say seeing is believing so I guess I'll believe it when I see it.
   
 10. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #10
  Jun 29, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,455
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Niliwahi kuuliza hapa: nani ana finance hii kitu? Maana haikuingia akilini kabisa kwamba fedha za dhahabu zinaishia ulaya na kwenye akaunti za Uswiss, tumeshindwa kuweka madawati madarasani na kuongeza waalimu, sasa ghafla bin vuu tujenge mji wa kisasa mithili ya NY. Where did the money come from?
   
 11. T

  Topical JF-Expert Member

  #11
  Jun 29, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,177
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Afadhali aisee walikuwa wachukue kiwanja changu hivi hivi..
   
 12. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #12
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,873
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Serikali hajawahi kuwa serious.
   
 13. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #13
  Jun 29, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 15,270
  Likes Received: 1,543
  Trophy Points: 280
  Haahaa nilikimbilia kwenda kununua Kichangani sasa nataka niwahi nikawahamishe wazaramo hapa Tungi
   
 14. Mkulima wa Kuku

  Mkulima wa Kuku JF-Expert Member

  #14
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,245
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 145
  Hapa wanakigamboni wanapaswa kudai fidia kwa kucheleweshewa maendeleo yao na wapangao bila kutekeleza
   
 15. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #15
  Jun 29, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 11,169
  Likes Received: 2,309
  Trophy Points: 280
  Hakiyanani serikali hii USANII umepitiliza!

  Nakutakia afya njema Dr Ulimboka!
   
 16. Msolopagazi

  Msolopagazi JF-Expert Member

  #16
  Jun 29, 2012
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 647
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nikatafute kakiwanja kabei nafuu kasikopimwa mie ........
   
 17. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #17
  Jun 29, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,586
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Duh! Wale waliouza viwanja vyao kwa haraka na hata kuwaficha wanaowauzia nini kilikuwa kinajiri naona sasa wanajiona kama wajinga
   
 18. M

  MTK JF-Expert Member

  #18
  Jun 29, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 6,118
  Likes Received: 1,819
  Trophy Points: 280

  Maskini profesa Anna Tibaijuka ataiweka wapi sura yake baada ya kauli za matambo kuhusu mji mpya Kigamboni alizozitoa pale jangwani kwenye mkutano wa CCM majuzi!; kwa nini asije kuitwa mwongo!! Pole dada yangu hizo ndio siasa za bongo, hapa sio UN habitat bali hapa ni wizi mtupu.
   
 19. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #19
  Jun 29, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,768
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  kuna mtu ana exclusive wrights za kujenga Daraja na was extended na marais wawili pale ipo expire so yeye ndie ana majibu lini litaanza kujengwa
   
 20. Bavaria

  Bavaria JF-Expert Member

  #20
  Jun 29, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 42,082
  Likes Received: 6,919
  Trophy Points: 280
  Pinda hajielewi, unaweza ukajenga na kesho ikala kwako.
   
Loading...