Dr. Ulimboka apelekwa nje kwa matibabu zaidi...

Tunamuombe apone ..ili aje atoe ushuhuda ni jinsi gani kifo kilivyo..mana wenyewe wana ona raha sisi ndugu zetu kufa kwa migomo yao isiyo kuwa na tija kwetu wananchi, zaidi ya faida yao ya fedha na siasa zao za chadema .

siasa za ccm na si za chadema embu kuwa na akili gamba wewe.
 
Kama serikal ya magamba ingekuwa na huruma ingelipia matibabu yake.Au adui mwombee njaa! Ok MUNGU yupo
 
Hii ni taarifa ya faraja kwa wapenda amani na maendeleo ya Tanzania. Mwenyezi Mungu amtangulie na kumponya haraka iwezekanavyo, tunajua Mungu hana chuki na Dr. Ulimboka.
 
Hivi kwa nini kila mtu na kaugonjwa kake lazima apelekwe India? Hawa madokta waliogoma wameshindwa kweli kumsaidia mwenzao? na kama wameshindwa kumtibu mtu aliyejeruhiwa na kipigo, kuna haki gani kwao kugoma kama matatizo kama hayo tu lazima watu wapelekwe nje ya nchi. Ni wakati sasa sisi wananchi tuanze kuuliza hawa madokta wetu wanatibu nini sasa kama kila mtu mwenye kauwezo kidogo tu, anaenda India. Tuliwasomesha ili watusaidie na kama wako kwenye mgomo sasa ina maana hawako busy ya vile, basi wamtibu mwenzao kuonyesha uwezo wao na ili kuhalalisha waongezewe posho, kwa nini apelekwe nje?
 
Asante, it makes me deadly angry kwamba wao wanaondokaga hapa kwa sherehe na press conferences kwenda kutibiwa hata gonorea, mafua na UKIMWI kwa hela zetu wakibeba na vimada wao, wakati hela zetu hizo hizo haziwezi kuwatibu watoto wetu wanaouawa na hao tunaowahudumia, ama kweli sisi ni wapumbavu, sasa kama hili la Ulimboka halitawapeleka mahali pake, basi tulaaniwe. Ameondoka na Mungu atarudi na Mungu na haki ya mungu wataondoka wote wala si kwa ugonjwa tutawatoa kama kumsukuma mlevi, silaha zetu ni za kimungu, wamkumbuke David, hakuhitaji ACP Msangi kumuua Goliath,
 
Siamini serikal Tumwombee Mungu Ulimboka apone ndo la muhimu zaidi.
 
Tunamuombe apone ..ili aje atoe ushuhuda ni jinsi gani kifo kilivyo..mana wenyewe wana ona raha sisi ndugu zetu kufa kwa migomo yao isiyo kuwa na tija kwetu wananchi, zaidi ya faida yao ya fedha na siasa zao za chadema .
Ningekushauri kuwa wakati watu wenye akili wanajadili jambo uwe unakaa pembeni na kusoma tuu maana huna hadhi ya kuingilia mijadala yao kwa vile haumo kwenye kundi la wenye akili.
Samahani kama nimekukwaza ila huo ndio msaada pekee niwezao kukupa. Yaani ushauri.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom